Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 5,955
- 4,821
Last edited by a moderator:
ndoto za abunuasi.
Msalimie Zito
Sipingani na maamuzi yako lakini think DEEP. UKAWA WAKACHUKUA NCHI. Katiba ya walioba ikapita. rais hana upenyo wa kusapoti ufisadi. Ndio mana ccm wakaipiga chenga. lengo kuu rasimu ya walioba iwe katiba hapo ndipo utaelewa mchezo kuwa the end justify the means. Msiniskititishe magreat thinker ama ushabiki wa umezidi malengoMimi nitampigia mbunge na diwani tu. Kwa rais Ccm watamtangaza Magufuli. Upinzani tumepoteza nafasi kwa kumkaribisha fisadi na kutupilia maadili tunayopigania.
Tarehe 26/10/2015 tutashuhudia anguko kubwa sana la vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) anguko hilo litasababishwa na vitu vingi lakini kubwa litasababishwa na kiburi (arrogance) arogance ya kutokukubali ushauri wa watu influential ndani ya ukawa yaani lipumba na slaa. Angusho hilo litasababishwa na kuamini sana katika nguvu ya mtu mmoja ambaye ana madhaifu karibu elfu moja.
Hili litakuwa ni anguko la karne lakini litawaathiri zaidi chadema. Ukawa wasichokijua ni kuwa kampeni zinazoendeshwa na jinius magufuli ni za kisayansi. Wanakurupuka kutumia ela nyingi kutengeneza matukio. Lakini pigo watakalopata litaathiri afya za mamia. Vyama sita kwa mara moja vitapigwa vibaya mno! Na baada ya hapo tutashuhudia chama kipya kikiibuka na kuwa na nguvu.
Tusubiri wakati!
Naona unajaribu ku justify uondokaji wa Lipumba ndani ya UKAWA pasipo kuwa na strong justifiable reasons for the same.
Daaaaah. Nakuonea huruma sana ingawa najua mda ukifika utachagua fungu lililo jema na sahihi kwa maisha yako na ya wenzio
wafuasi wa lowasa humu wameipoka mijadala yote ya Chadema, wameingia kwa nguvu kubwa
Hekimatele
Nimeipenda hii username yako! Unapaswa kuilinda kwa kuandika komenti zenye hekima. Sawaa???
Tarehe 26/10/2015 tutashuhudia anguko kubwa sana la vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) anguko hilo litasababishwa na vitu vingi lakini kubwa litasababishwa na kiburi (arrogance) arogance ya kutokukubali ushauri wa watu influential ndani ya ukawa yaani lipumba na slaa. Angusho hilo litasababishwa na kuamini sana katika nguvu ya mtu mmoja ambaye ana madhaifu karibu elfu moja.
Hili litakuwa ni anguko la karne lakini litawaathiri zaidi chadema. Ukawa wasichokijua ni kuwa kampeni zinazoendeshwa na jinius magufuli ni za kisayansi. Wanakurupuka kutumia ela nyingi kutengeneza matukio. Lakini pigo watakalopata litaathiri afya za mamia. Vyama sita kwa mara moja vitapigwa vibaya mno! Na baada ya hapo tutashuhudia chama kipya kikiibuka na kuwa na nguvu.
Tusubiri wakati!
Ujue ushindi wa chama siyo kupata Urais pekee. Inabidi ujue wanaojenga chama ni madiwani na wabunge ambao UKAWA ina uhakika wa kupata above 80% , kwa hiyo hata CCM ikilazimisha rais awe CCM utendaji kazi wake utakuwa mgumu kabisa. NB ujue wabunge 2/3 wanaweza kumwondoa Rais madarakani wakati wowote wakiamua. Mwaka huu CCM kupata wabunge hata hamsini utakuwa muuzija kwani yaliyoitwa makapi na oil chafu wamejipanga kufanya yao. Time will tell my dear.hatuombei hili litokee ila kwakweli umoja wa katiba ya wa.rioba (u.kawa) wakishindwa uchaguzi huu it will take cha.dema more than rest of the parties "forever" kujiunda upya kama chama
Ujue ushindi wa chama siyo kupata Urais pekee. Inabidi ujue wanaojenga chama ni madiwani na wabunge ambao UKAWA ina uhakika wa kupata above 80% , kwa hiyo hata CCM ikilazimisha rais awe CCM utendaji kazi wake utakuwa mgumu kabisa. NB ujue wabunge 2/3 wanaweza kumwondoa Rais madarakani wakati wowote wakiamua. Mwaka huu CCM kupata wabunge hata hamsini utakuwa muuzija kwani yaliyoitwa makapi na oil chafu wamejipanga kufanya yao. Time will tell my dear.
hilo la wapinzani kuchukua majimbo zaidi ya 80% ni UTOTO unafanya ndugu yangu,,, na hili la wabunge 2/3 kumwondoa rais madarakani kasome katiba vizuri sio rahisi hivyo kama unavoisema bwashee
Ujue ushindi wa chama siyo kupata Urais pekee. Inabidi ujue wanaojenga chama ni madiwani na wabunge ambao UKAWA ina uhakika wa kupata above 80% , kwa hiyo hata CCM ikilazimisha rais awe CCM utendaji kazi wake utakuwa mgumu kabisa. NB ujue wabunge 2/3 wanaweza kumwondoa Rais madarakani wakati wowote wakiamua. Mwaka huu CCM kupata wabunge hata hamsini utakuwa muuzija kwani yaliyoitwa makapi na oil chafu wamejipanga kufanya yao. Time will tell my dear.
Ha ha ha ha mbavu zangu wee uwiiii hongera mkuu.Adui yako mwombee maisha marefu ili aone unapofanikiwa. Ha ha ha........!!Hiyo 80% ni habari zenu za vijiweni. hata Arusha yenyewe chadema haichukui 80%. Chadema ikijitahidi itachukua Arusha mjini, Arumeru, karatu hawana uhakika wa kuchukua. Ngorongoro, Longido na manyara yote CCM itashine. Tanga, Singida, moro, Dodoma Chadema hata kiti kimoja hampati. endeleeni kujipa moyo tusubiri october
Ha ha ha ha mbavu zangu wee uwiiii hongera mkuu.Adui yako mwombee maisha marefu ili aone unapofanikiwa. Ha ha ha........!!
Wewe unanipeleka kwenye ukabila. Mimi niko hapa Chato nina hakika wilaya yote nii akipata kura elfu tano yatakuwa maajabu. Kwa taarifa yako Magufuli si msukuma ni mzinza & msubi, kisukuma anakijua tu. Sisi huku tuko field ninyi mkikaa nyuma ya keyboard mnaandika kinachokuja kichwani. Njoo huku ufanye savei gharama zote kwangu ndo utajua hali halisi.hapa swala sio kumuombea adui njaa ama maisha marefu,,, swala ni kuzungumza uhalisia kulingana na NAMBA zinasema nini,,, we unafikir uh.uru kenya.tta au m.wai kibaka walikua bora sana zaidi ya mzee o.dinga?? walishinda kwakua NAMBA ziliwabeba, najua unaelewa namaanisha nini