Wewe inawezekana ndiye mwenye majibu stahiki juu ya kupongezwa kwa Angola ktk hili, kwamba wanasayansi wa Angola wameiunda ila rocket za kirusi ndizo zilizokodishwa kuirusha, kama ni hivyo sawa.Wamerusha kwa kutumia rocket ya mrusi,
ni kawaida sana,hata waisrael mara nyingi wanarusha satelite zao kwa kutumia rocket la mmarekani ama mhindi,
ili uweze kurusha kitu kwenda anga za juu mpaka uwe umemudu technology ya ballistic missile,yale maroket kimfumo yanafanya kazi kama ballistic missile,
so nchi ambazo mara nyingi hawana hiyo tech,au kwa kubana matumizi na kuokoa mda hutumia maroket ya nchi zenye tech hiyo kuweka satelite zao anga za juu
tuombe munguSisi huku tunanunua kwanza wapinzani tukimaliza tutafikiria mengine
Hujaelewa nilichokielezea. Kanywe supu ya pweza kwanza upate nguvu,urudi usome nilie m quote alianzia Ku quote wapi mpaka tukafikia hapo,ila ukikomaa kudandia gari kwa mbele hufiki mbali na hutoelewa.Kwahiyo kufanikiwa kwa mtu kununua simu na yale ya mtu kuiunda simu yake ni sawa? Hoja iko hapo, kichwa cha habari kingetanabaisha hivyo.
Nadhani nawe hukunielewa, nilimaanisha kwamba, hatupingani na Angola kununua satellite si jambo kubwa, la hasha, tunachosema, kichwa cha habari na habari yake haviendani. "Angola warusha satellite ya kwanza" imekaa as if ni waangola ndiyo waliorusha hiyo satellite. Hapo tu, great thinker hapa alitakiwa ajue, hatujadili umiliki, bali ujuzi tu.Hujaelewa nilichokielezea. Kanywe supu ya pweza kwanza upate nguvu,urudi usome nilie m quote alianzia Ku quote wapi mpaka tukafikia hapo,ila ukikomaa kudandia gari kwa mbele hufiki mbali na hutoelewa.
Hujaelewa nilichokielezea. Kanywe supu ya pweza kwanza upate nguvu,urudi usome nilie m quote alianzia Ku quote wapi mpaka tukafikia hapo,ila ukikomaa kudandia gari kwa mbele hufiki mbali na hutoelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa si ni ya kwao? Kwahiyo unataka kusema warusi wamwrusha satellite ya Kwanza kwa nchi ya Angola au mnataka kusemaje? Mleta mada yuko sahihi haihitaji ugreat thinker hapo kuelewa.Nadhani nawe hukunielewa, nilimaanisha kwamba, hatupingani na Angola kununua satellite si jambo kubwa, la hasha, tunachosema, kichwa cha habari na habari yake haviendani. "Angola warusha satellite ya kwanza" imekaa as if ni waangola ndiyo waliorusha hiyo satellite. Hapo tu, great thinker hapa alitakiwa ajue, hatujadili umiliki, bali ujuzi tu.
Angola yafanikiwa kununua satellite yake ya kwanza na kuirusha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa si ni ya kwao? Kwahiyo unataka kusema warusi wamwrusha satellite ya Kwanza kwa nchi ya Angola au mnataka kusemaje? Mleta mada yuko sahihi haihitaji ugreat thinker hapo kuelewa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo sasa iwe theard yako sio hii..kwani hata wakinunua ownership inakuwa ni ya warusi??? Uzi umekamilika wabongo wivu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angola yafanikiwa kununua satellite yake ya kwanza na kuirusha
Mtarushia chatoHongera zao hata sie kuna siku tutarusha yetu ya Mungu mengi
Ardhi kubwa kuliko Angola?labda sijakuelewa ni ardhi ipi cheki vizuri ramani.Tuna almasi, dhahabu, tanzanite
, gas, makaa ya mawe, mbuga na ardhi kubwa zaidi ya Angola.
kama tu hapo mbeya kuna kipindi kunakuwa na barafu itakuwa angola muhimu kuuliza kwanza unaona na yenyewe imeandikwa anglosatmbona naona barafu, angola kuna barafu? acheni ushamba.