Angola warusha Satellite ya kwanza

Angola warusha Satellite ya kwanza

ChimeraX

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2,291
Reaction score
2,844
Nchi ya Angola mnam December 7, 2017 walirusha satellite yao ya kwanza iliyojengwa nchini Urusi

Hongerani Angola kwa kupiga hatua kubwa

6578b7b404a413460ac65f5abea263f4.jpg


0bceae96b36ea259a8534383a73e98b1.jpg


9d7f777801e78a4d96135cb2900d96b3.jpg



Source

Angola's First Satellite to Be Launched From Baikonur Spaceport Dec. 7
 
Kuna upuuzi mwingine ukiusoma unatamani ujiondoe Jf, mtu anaifananisha Angola na Tanzania, unataka turushe setellite kisa Angola karusha? Simlaumu mleta mada kwa sababu umetupa taharifa, rakini kuna wachangiaji sijui kwanini hawajipimi kwamba siyo kila mada ni level yako ya uchangiaji? Vitu vingine msichangie kama mnaona vinawazidi uwezo wa kufikiri, kwa taharifa yenu hata nchi za Ulaya si zote zina setellite juu, sisi bado tuna mambo mengi yakufanya kuendelea kabla ya kuwaza setellite,
Kwa taharifa yako, Africa ni nchi chache zina huo mzigo Angani, hata Kenya yenyewe haina.nazo ni;
.Egypt
.South Africa
.Morocco
.Algeria
.Nigeria
.Mauritius
 
kingelikuwa chao si wangetengenezea luanda, na wasingehitaji msaada wa warusi. hapo waliotengeneza ni warusi na sio waangola. tuache kufarijiana.
Mkuu una kichwa kizito sana.. Kwani ndege za air Tanzania ni Mali ya Tanzania au Canada?! Ma-landcruiser ya wizara ni Mali yaserikali au ya Toyota Japan? Simu yako ni Mali yako au ya mtengenezaji?!
 
Back
Top Bottom