Researcher
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 187
- 48
Asante mdau. Luanda ni mojawapo ya miji inayokuwa zaidi duniani. Vilevile ni mji wa ghali sana kuishi. Kwa kiasi kikubwa Luanda inajengwa na Wachina na ni kutokana na mapato ya mafuta yaliyopo Angola. Wengi wamekuwa wakilalamika juu ya rushwa na unyonywaji unaofanywa katika Angola. Hata hiyo tuna swali moja la msingi la kujiuliza:
Pamoja na hizo rushwa na unfair trade huko, Je, is it as worse as madini yetu na mrahaba wa asilimia tatu?
Kama tunataka kubadili mambo kwa mji kama Dar, either tubuni mji mwingine nje kabisa ya Dar au tubomoe zaidi ya asilimia 60 ya ujenzi wetu holela tulioufanya. Kitu kibaya kabisa hata wataalamu na bodi zao, wamekaa kimya bila kushauri mambo yakizidi kuharibika.
Nafikiri professional bodies zina mchango mkubwa sana wa kurekebisha mambo. Ila mambo yanavyoenda ni kama hawapo. Dar ya leo kupunguza foleni ni ndoto kama mambo muhimu ya mipango miji hayataangaliwa
nasi tukithubutu madini yanaweza kutupiga tafu badala ya kuwafaidisha wengine,hata huko Angola mafuta yanachimbwa na makampuni ya nje na sidhani wanapata mrahaba 4 %, TAFAKARI!... wese nalo linawapiga tafu sana
Tatizo tulilonalo sisi ni kutowekeza kwenye mipango ya muda mrefu. Pia populist political positions nazo zimeikost sana nchi hiyo. Hebu angalia Bagamoyo rd. inpanuliwa kuwa 4 lanes wakati kale kakipande ka Morocco - Mwenge kako vilevile. Lakini je kwa nini wasiandae barabara hiyo kuwa six lanes au hata 8 lanes for future? Haijalishi hata kama uwezo wetu kwa sasa ni hizo 4 lanes, lakini tuuache uwazi for future.
Ukiangalia hapo Dar, hakuina hata maeneo ya kucheza, kupumzika and yet ukitoka 30km out of town ni vijiji!!!!!!! Ukiangalia hiyo Morogoro rd. ndiyo usiseme kuanzia ubungo ni mabanda ya mkaa kila upande, vijiduka, baa, biashara za matofali and no one cares!
siwezi kushangaa kuwa wewe nimmoja wa viongozi au mtu mkubwa nchini...mnaouza madini yetu na kusamehe kodi.baHATI MBAYA HILI LINALOFANYIKA ZNGOLA LINAHUDUMIA DARAJA LA WATU WASIZIDI ASILIMIA 5 YA WANANCHI WOTE. WENGI NI WAZAWA WACHACHE WAFANYAKAZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA YA MAGHARIBI YA MAFUTA NA NGOs......
HAINA TOFAUTI NA REAL ESTATE (APARTMENTS KAMA ZIITWAVYO DAR ES SALAAM) ZINAZOCHIPUKA KILA SIKU DAR......INAPENDEZA INGEKUWA INAFIKA HADI KWENYE MAKAZI YA WANANCHI WALIO WENGI (WALALA HOI) ....Tafakari
Infranstructure ( barabara, magorofa, reli, communication lines) ni moja ya factor ya development..so acha kuyatoa katika mojawapo ya kukuwa kwa maendeleo na uchumi kwa ujumla.
ila kweli..hapa tz kuna project kubwa kuliko...tena ya ukweli, nilichek video yake ya huo mpango ni noumerkigamboni master plan????????????