Mimi nimegundua kwamba wewe ni miongoni mwa wanaoendekeza usultani, maana unataka kila mmoja awe na mawazo sawa na yako, ambayo ni sawa na ya huyo Malinzi wako.
1. Mafanikio hayaji kwa kimwondoa kila anayekutikana madarakani.
2. Si kila mshabiki wa mpira ni mshabiki wa siasa chelema kama unavyoonekana ndivyo ulivyo. Mifano unayoitoa hainihusu kwa sababu unaowatolea hiyo mifano hawanihusu.
Kituko cha pili.
1. Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru. Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji. Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi. It's a one man show now.
2. Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi. Hii ni visasi na ubinafsi. Ndio hulka yao hawa jamaa hata Dioniz pale Gymkhana Club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu
Huna lolote ktk Kujenga hoja . Huwezi kutofautisha siasa na utendaji wa serikali na taasisi zake zote. Kaa tulia kalia kula nakulala tu.
Ina maana kaondoa safu nzima au staff wote? Kwa nn yeye tu? Kasome kwanza ndo uje hapa.
Mimi sikukaribii hata kidogo kwa kusoma. Nimehitimu darasa la kwanza tu. Lakini namshukuru aliyenifundisha kujaribu kijenga hoja mpaka zikakasirisha watu kama wewe. Darasa la pili nakuomba unipeleke kwa mwalimu aliyekuhitimisha kuandika sentensi zisizo utata hata kidogo kama hizi ulizoziwekea alama ya kuuliza.
Kifuatacho TFF ni Julio kufungiwa kujihusisha na mambo ya soka kwa miaka 20 (ishirini).
Mkuu Julio hana adabu alishazoea ugomvi,nakumbuka mapem mwaka huu wakati wa mechi ya simba na Toto Africans pale mwanz alipigwa ngumi baada ya kuanzisha ugomvi akavimba jicho mshari sana huyu jamaa!
Kituko cha pili.
1. Kufuta hukumu zote mara baada ya kuchaguliwa wakati hukumu hizo zilitolewa na kamati ambazo kikatiba ni huru. Anayewasamehe watu kienyeji hivyo tegemea pia atawahukumu kienyeji. Huu ndo mwisho wa TFF kama taasisi. It's a one man show now.
2. Kiongozi mweledi hawezi kuanza kwa kumfukuza ntendaji mkuu wa taasisi. Hii ni visasi na ubinafsi. Ndio hulka yao hawa jamaa hata Dioniz pale Gymkhana Club upande wa golf ndivyo alivyofanya na kupaharibu
Kuna tetesi huenda Michael Wambura akapewa Ukatibu Mkuu
Osiah ambaye aliapa kwamba Malinzi na Wambura hawataingia madarakani ndo mtu wa visasi...
Hivi unategemea Malinzi angeweza kufanya kazi na mtu ambaye alijionesha dhahiri kuwa hataki aingie madarakani kwa kumuwekea vikwazo visivyo na kichwa wala miguu mpaka FIFA wakaingilia kati...
Uchaguzi wa TFF ulitakiwa ufanyike tangu Desemba, 2012 lakini ulisogezwa mbele kwa sababu ya fitna za Osiah na kundi lake dhidi ya Malinzi na Wambura..
thanx God mgonjwa out. Bado Sunday Kayuni.