Umenifanya nitabasamu tangu nilipoamka, nakujikuta nikirudisha kumbukumbu zangu nyuma urafiki wetu ulipoanza.
Ahsante kwa kuwa rafiki yangu, namshukuru Mungu kwa hilo, namuomba azidi kuudumisha hadi ufikie kwa familia zetu siku moja.
:drum: 😛out: :behindsofa:
sanaaaaaasantee..umefurahia?
asantee...njoo basi leo jioni.
nitakuletea ile nanii unayoipenda sana..
njoo bana!!