Angela Kairuki yupo wapi kwa sasa?

Majitu ni mambeya sasa mnajadili kinawasaidia nini nyie au vyeti feki mliyetumbuliwa
 
Ummy alipewa uwaziri
Kairuki alipewa uwaziri
Joketi UDC
Sundi Ukaguzi wa migodi

Alikuwa anawakumbuka sana.
Haya ni matumizi mabaya ya ukuu na mtura, snakula wazee na wake za watu, bora jk alitafuna kinda kabisa.
 
Yes kazi yetu kuwafikisha vileleni
 
Acha umbea.
 
Kwa niliyoyasoma humu basi bila Shaka mjane amefarijika Sana na hakika stress zimeshaisha kabisa. Hongera Sana mama kwa uvumilivu mkubwa.
Kumbe mjane alikuwa analia kwa Mengi sana[emoji24][emoji24][emoji24]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…