Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Upo sahihi mkuu, hilo suala la wanawake kufika kileleni, linahusu wanaume, hasa wale wenye bidii!Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubebwa na wanaume kwa kutumia mahaba kama qualification criterion.
Angalia wanawake wote walio ktk nafasi zenye ushawishi mkubwa katika nchi hii lazima utakuta nyuma yake kuna mwanaume, anzia juu kabisa kushuka chini.
Hakuna mwanamke anayeweza kufika kileleni bila kusaidiwa na mwanaume, kama yupo mniambie ni nani na uangalie usiropoke usije ukaumbuka bure humu.
Huyo anayesemwa humu hayuko peke yake, wanawake wote, hasa wa kiafrika, hiyo ndio hulka yao. Tuseme tu ukweli, isingekuwa mwanamme leo hii tusingekuwa na rais mwanamke, watu wazima watanielewa. So please leave Angela alone.
Kama bia mkuu? Asikwambie mtuu bia tamu, bia tamuuu [emoji126][emoji126][emoji126]Dem ni mtam huyu asikwambie mtu.
Ukiona mtu anampiga madogo JPM jua ni Chadema bwasheeWengi tu ambao siyo CHADEMA wamechangia humu. Wacha generalization.
Huyo tena ,Kigogo aliwahi sema mpaka kina Bashite wamelegezewa mijicho wakateleza tu. MaCCM na mambo ya hovyo.Unataka kusema na mama naee....
Acha bangi kijana
Halafu ndio midume hiyo na ukute nyumbani wanategemewa mwizi akiingia angalau warushe nakos kumbe ndio hivyo tena, kina delicious hadi humu wamo. MtihaniAcheni umbea!!!
Weka basi na chaga gangsters. BTW its too low for you.Endelea hivyo hivyo sukuma gang....bado wanawrweseka mungu wao kaenda.....
Ukiwa boss wanakubembeleza .....one min anaondoka kaacha 20mik hapo...za kujikimu anaenda zake...anachafua tu ....unafikiri kuna cha maana wadasa wana siri nyingi za ma boss na wazee
Yeah ndio Baba yake Mama Mpare....alikuwq active UWT...mtafute utamjua tu....alikuwa nanakina Sophia Simba etc....Unamaana S A S! Kwahiyo ni Niga! Aah, ndiyo maana ana nywele za singa.
Hakuwa na namna ,angefanyaje sasaLisemwalo lipo, hakuna siri ya wawili duniani
Kwa hyo ni mtoto wa Dr Salim Ahmed Salim?Mkuu anatumia vizuri rasilimali yake tumpongeze
Asije akamuulizia na Mzee Kitwanga.Mfizigo kama sio mfuatiliaji wa muundo wa serikali kupitia vyombo vya habari,basi utawauliza mawaziri wengi ambao hawakurudi katika nafasi zao.
I don't understand your gist in this topic especially when most of the highest positions of power are held by men and when the same applies to women only for the courtesy of men, our case is a typical example.Wewe huelewi kitu kimoja kikubwa na cha msingi sana. Hayupo kiumbe hapa duniani ambaye ni powerful kama mwanamke. Kwa hiyo, mwanaume yeyote usipojua hili, lazima tu uwe mtumwa wa wanawake na watakusumbua sana maisha yako yote. Mwanaume aliyeiva lazima huwa anajua kuwa ladies are the most powerful creatures in this world! Kalaghabaho
Huo ndio ukweli, mwanamke bila mwanamme haendi popote.Acha utabiri wako wa kitapeli
UnaharibuAtakuwa ukweni chato
[emoji28][emoji28][emoji28]Atakuwa ukweni chato
Weweeee
Kaungua hatamanikiKwani Magu anasemaje huko aliko motoni.
Anaomba chama kimpelekee maji.Kwani Magu anasemaje huko aliko motoni.
Hamna lolote. Wa kawaida sana, na isingekuwa kubustiwa angekuwa mdangaji.Ila Jiwe ni kitu kimoja tu alifanikisha (achieved) maishani mwake ni kwa kugonga huyu superlady. Hii ni everlasting legacy kaacha.
Sasa huyu ana umuhimu gani katika taifa letu?