'Angel numbers' ni nini?

Alafu kuna watu wanakuja na utoto wao au uzwazwa anakuuliza et umekua tajiri daah
 
Mimi siamini Katika hizo namba lakini nimejikuta nikifanya vitu vyangu tar. Zenye 9 to mention few nimezaliwa tar 29/5 nikazaa mtoto wangu wa kwanza tar 29/6 nikazaa wa pili tar. 19/9
 
uwa inanitokea automatically utakuta unacheki muda kwenye simu gafla unakutana na namba izi 2:22,4:44,5:55,11:11,1:11
 
nashukuru kwa maelezo mkuu
 
Na kila inapotokea huwa naangalia nipo katika tukio gani na nafanya nini..

Kwa sasa nimeachana nazo kidogo ila nimegundua kuna maana ndugu zangu haya mambo ni serious.

View attachment 3007901
nasikia wanasema huwezi kukwepa hizi namba, popote utakapoenda lazima ukutane nazo na zinatokea muda ambao jambo fulani linaenda kutokea.
 
Mimi siamini Katika hizo namba lakini nimejikuta nikifanya vitu vyangu tar. Zenye 9 to mention few nimezaliwa tar 29/5 nikazaa mtoto wangu wa kwanza tar 29/6 nikazaa wa pili tar. 19/9
sasa kibaya kwenye hizi namba huwa zinakufosi uamini matukio yake na huwa yanatokea kweli na ndyo maana huwezi kuziepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…