Angel? Devil? . . . .


lakini anatumika na entity 2 TOFAUTI while yeye anabaki kuwa binadamu. Hivyo in a way kuna sub-conscious force iliyo behind na huenda anashindwa kuicontrol na ndio maana as you have suggested hapo kwenye bold ni muhimu kama sio lazima kuseek divine intervention.
 

Hakuna moto unaowaka bila kusababishwa na kitu chenye asili ya moto!
 

Yaani! Umenena vema. Sina cha kuongeza. Hongera!
 


Watu wanakuwa devil sababu ya u selfish..
mfano mtu una shida ya kazi
mtu anakusaidia kukupata kazi
halau anataka kukutumia kwa wizi oficin
au uwe unampa mpa pesa since yeye ndie alikupa kazi
sasa hapo huyo mtu hakuwa mwema in the first place..

na wazazi wengi wana mentality ya 'mtoto wangu'
so anatakaa afaidike...
mungu anasema 'watoto sio mali yako'
umepewa dhamana tu uwaangalie..
ni mali ya mungu
get it...
 
Nadhani nakupata

Unamaanisha, mtu anayesababisha anguko lako ni shetani, period? Yale mazuri yake yanakuwa ni just the process ya ya kufikia mabaya?

Huyo mtu anakuwa siypo shetani, ila anatumiwa na shetani, pengine kwa kujua kuwa anatumika au kwa kutokujua kabisa, yote yanawezekana. However, zipo scenerios ambazo malaika wa giza anaweza akakujia katika sura ya binadamu kabisa!
 
haya makitu ya akili mingi hv unavoyapatiaga mi hoi!
 
Najua, hii iwe both ways

Mie mwenyewe ukute ni shetani wa mtu, so better kujiombea niwe malaika wake

 
Hasa ukute mzazi anayependa kumiliko watoto hata wale waliokwisha kujitegemea

Tabu kweli

 
Hasa ukute mzazi anayependa kumiliko watoto hata wale waliokwisha kujitegemea Tabu kweli
Hivi kupendwa na kuchangia mafanikio ya mtu ndo kuuwa malaika? mwanaume jambazi anaependwa na kuungwa mkono na mkewe? baba jambazi anaempenda na kumrithisha mwanae kazi ya ujambazi? dada mwenye shida za maisha anakutana na pimp pimp anampenda na kumuingiza kwenye danguro na kumsapport kwa kila njia awe successful kwenye biashara?
 
Assume anachomfundisha ni halali
Lakini anamzuia kutimiza ndoto zake binafsi

 
tatizo nature ya binadamu hatukubali makosa yetu na kuyarekebisha bali huwa TUNATAFUTA CHA KULAUMU AU WA KUMLAUMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…