Angel? Devil? . . . .

Kwa hiyo ndio utaratibu wa maisha tu

Hii dhana na malaika wako na shetani wako haina mantiki?

 
Nadhani ushetani na umalaika umjengeka kwa kila mtu anao kutokana na wivu / upendo (emotions)

Lakini naweza kuwagawa watu kutokana na influence ya mtu kwako (negative au positive)

Unaweza ukakuta mtu (negative influence) kutokana na uvivu wake, ulevi au negativity kukaa nae anapelekea matatizo kwako (ila siwezi kumuita shetani sababu ni tabia yake) pia utakuta at heart ni mtu wa upendo sana kwako na wewe anakuonyesha mapenzi

Unaweza ukakuta mtu (positive influence) kutokana na vision zake, uchapa kazi wake anapelekea wewe kupata manufaa katika maisha yako (ila siwezi kumuita angel necessarily) sababu hafanyi haya sababu ya upendo kwako bali ni tabia yake ndivyo ilivyo (ingawa kutokana na misimamo yake wewe unaweza kudhani hakupendi au ni mchawi)

Nikija kwenye issue ya angel / shetani ni kwamba binadamu mara nyingi wanakusaidia ukiwa na shida mpaka level fulani, ukifanikiwa sana au kuwazidi (inferiority complex na wivu) wanaaanza kukuchukia na back stabbing tena wanafanya haya huku wanajua.., ile ile roho ya upendo sasa inajenga chuki sababu ya wivu.
 
Nimetoa mfano kwa hapo juu miwili


Au niseme in general, hujawahi ishi na mtu, ukitafakari highest achievement zako nyingi, kuna juhudi zake, na ukiangalia lowest score zako nyingi alishiriki pia?

Au hujawahi tafakari hilo?

Kongosho kwanini unayapima mafanikio yako au maanguko yako kupitia kwa watu? Kwani huyo shetani au malaika wako hawezi kuwa wewe mwenyewe?
Ebu jaribu kuangalia katika angle hiyo, naamini kama ukiwa timamu kabisa japo kuna element ya disguise kwenye hoja yako lakini mengi tuyafanyayo uwa tunafanya kwa utashi wetu. Udhaifu wetu wa kutoweigh maamuzi yetu na kutafakari kwa kina labda ndio shetani wetu
 
Last edited by a moderator:

Yeah Kongosho thats very possible one can have two face both bad and nice face.Mfano mzuri ni shetani ye ana two faces anajifanya mwema afu at the same time ni mbaya.Hebu tua kidogo ufikirie mganga wa kienyeji,mchawi najini wanatoa nguvu zao wapi kama si kwa shetani?Lakini cha ajabu mtu mwenye majini anamcharukia mchawi afu then mtu anenda kwa mganaga ili apewe kinga ya wachawi au atolewe majini,kama hayo yakikukuta si unaweza ukaona mganga ni mtu mzuri au source yake ni Mungu na sio shetani?So thats vry possible a person you think is good to you might also be bad and dangerous to you as well.
 
Last edited by a moderator:

umezeeka na kuanza kupata maruweruwe,ulikuwa hujui? kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!
karibu bamboo roast kuku kwa ugali!
 
Unajua, katika maisha kufanikiwa na kutofanikiwa, kwanza ni wewe mwenyewe, halafu wanaokuzunguka pia

Sidhaaani sana kama unaweza fanya kila kitu mwenyewe

Ni kweli, inawezekana sababu ni wewe mwenyewe, na inawezekana % fulani ni wale wanaokuzunguka


Nikupe mfano,

Scenario A: nafungua duka, nafanya kazi, naamua kumpa ndugu asimamie, anaongezaujuzi wake wa biashara duka linakua.
Scenario B: Nafungua mradi wa kuku home, namwachia ndugu, ,naenda kazini, kutahamaki anauza wale kuku baadhi na kuhonga, biashara inafifia.


Kwenye scenario zote, to some extent niko responsible maana kama mwenye biashara lazima nikumbuke natakiwa kujiandaa jinsi ya kumanage biashara yangu hata kama sipo eneo la biashara. Je inamwondolea ushiriki wa aidha kufanikiwa ana kufeli yule niliyemweka pale?

 
You are very brave, you deserved kufaulu

Hapa nachosema, ni kuwa mtu anakusaidia kabisa kufanikiwa, tena kwa juhudi zake zote
Lakini mtu huyo huyo anachangia maanguko yako mengi wakati mwingine bila hata yeye kujua
yamekukuta yepi Konnie? umefumania?
 

una akili sana wewe!
 
Afu patengeneze basi pale
Unajua mvua zinakuja za masika?

Uzee unanijia vibaya, nafikiria sana hasa nyakati za ...


Wee yule mama wa TRA alikuwa malaika wako ama shetani wako? Kodi ulikuwa unakwepa, good, Kibao akakusababishia, poor you!

umezeeka na kuanza kupata maruweruwe,ulikuwa hujui? kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!
karibu bamboo roast kuku kwa ugali!
 
Kwa waumini wa malaika na shetani ambao wanatumika kuleta blessings au vishawishi, mtu yule yule anaweza kutumika kwa njia zote mbili because God does not send an individual, he sends a blessing. it may come in form of a brilliant inspiration to somebody around you who then helps you materialise His Glory. Similarly, Shetani anaweza kumshawishi mtu na huyo mtu akakushawishi pia katika kutenda maovu. So sometimes the best person is the one near you who can be used by both "parties". Kuna sala ninayo ipenda sana sana sana. ni sala la Saint Francois D'Assise (Saint Francis of Assisi). He asks to be the instrument of God (ndio kama tunasema huyo malaika through whose hand the blessings will come). I want to share it with Mzee Mwanakijiji
The English version of the prayer reads as follows:

Lord, make me an instrument of your peace,
Where there is hatred, let me sow love;

Where there is injury, pardon;

Where there is doubt, faith;

Where there is despair, hope;

Where there is darkness, light;

Where there is sadness, joy.


O Divine Master,
grant that I may not so much seek
to be consoled, as to console;
to be understood, as to understand;
to be loved, as to love.

For it is in giving that we receive.

It is in pardoning that we are pardoned,

and it is in dying that we are born to Eternal Life.


Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…