Angel Benard.....!!!!

Angel Benard.....!!!!

huyu Dada nilmjua kwa mala ya kwanza nilinunua ulbum yao kipindi yupo glorious celebration, kuanzia hapo akawa superstar kwenye list yangu. nilikuwa naupenda wimbo wa roho. Glorious Celebration Ee Roho Official Video:
 
Kati ya waimbaji wa gospel ninaowakubali ni huyu.

Need you to reign na nikumbushe wema wako ni nyimbo zake ninazozipenda sana.
 
Na ile sauti yake sasa, hatari kabisaaa
Ni rahisi kinywa kujawa na lawama teleee
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana naona moyo unahangaika.....kutafuta majiiiiibu
Ni ajabu moyo unavyoonyesha mashaka.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom