Angekuwa wewe ungefanyaje?

Angekuwa wewe ungefanyaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Wewe umeoa una mke wako ambaye mna watoto naye,

Kwa bahati nzuri na mbaya ukapata kazi nje ya nchi au ukaenda kufanya kazi hiyo. Na kumuacha mke wako na watoto wako nyumbani kwako. Kule unaenda kufanya sijui miezi tano au sita au mwaka na kurudi nyumbani kwako una mkuta mke wako yupo tu nyumbani
Baada ya kurudi nyumbani unasikia habari kwa watu kuwa kipindi upo safarini mke wako alikuwa anaingiza mwanaume fulani ndani ya nyumba yako.

Wewe kwa akili yako una chunguza habari hiyo unakuta ni kweli mke wako alikuwa anafanya hivo. Una mpa mke wako taarifa hizo na kweli na yeye anakwambia ukweli alafu anakujibu kuwa alikuwa anafanya hivo kwasababu alishindwa kuvumilia tamaa za mwili ndiyo maana alifanya vitu kama hivo.

Wewe kama wewe unaweza kumuacha huyo mwanamke na kuoa mwingine. Au utakubali tu matokeo?
 
Funika kombe mwanaharamu apite! Mpime afya Maisha yaendelee
 
Nampa adhabu ....ya kumpiga mishe Kila Baada ya saa Moja


Ila Baada ya kumpima!!!!
 
Nitajiangalia mimi huko nilipokuwa. Je, sikuchepuka? Sikufanya zinaa na mwanamke mwingine?

Kama nilifanya, nitakachomuomba akiondoe kitanda alichofanyia ufuska na mwanaume wake. Anunue kingine na karipio kali asirudie.
 
Acha kusikiliza habari za kuhusu mkeo wanawagombanisha tu wafurahi kuanguka kwenu!
 
Uaminifu ni Kila kitu.

ENYI KIZAZi Cha Zinaa ikimbieni Zinaa.
 
Angechinjiwa mitaani ningesamehe ila kuchinjiwa kwenye chinjio langu ndo haisameheki
 
Kwani inasoma kilomita mkuu?
Sema kuchapiwa na enyewe inauma..
Hasa kale ka msemo kua kuna wakati ilichomoka akaishika mwenyewe kuorudisha tunduni...🤣🤣🤣
 
Ukijiuliza kwamba wewe kidume pia ulichepuka haileti maana.
Manzi akichepuka ni tofauti hapo lazima uzingatie!
Kama amekubali huyo ni fala usimuache!

Bora mwanamke aliwe then akubali kuliko awe muongo muongo na mjuaji.
Mimi nikivaa viatu vyako kweli nitamsamehe na tatayajenga.

Nachukia mwanamke asie muwazi na msiri!huyo kamanda wee songa nae.
Gurudumu likikushinda kusukuma liweke begani
 
Siwezi kusamehe hapo, maana wewe unapambana huko halafu yeye anakula vyako na anamlisha na hawala wake ambaye ni mwanaume kama wewe tena bure kabisa

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mdau humu alitoa kisa kwamba, Kuna jamaa alimfumani mkewe alimsamehe lakini Kila akikumbuka kule kuchapiwa jamaa anatembeza mboko[emoji1787][emoji1787]

Kwahiyo msamehe ila akikisha ukikumbuka kuchapiwa vuta ndani chapaaa sanaa[emoji1787]
 
Nitajiangalia mimi huko nilipokuwa. Je, sikuchepuka? Sikufanya zinaa na mwanamke mwingine?

Kama nilifanya, nitakachomuomba akiondoe kitanda alichofanyia ufuska na mwanaume wake. Anunue kingine na karipio kali asirudie.
“Karipio kali”🤣
 
Back
Top Bottom