angekua RAISI ingekuaje?

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
Lidephonce Bilohe, mkulima kutoka Kigoma aliyechukua fomu kuwania urais kupitia CCM 2015
C5Ati7TWEAElyb8.jpg
 
Ingekuwa ngumu hata kufanya kampeni hatumdhihaki ila kuwafikia wananchi ili awape sera ingekuwa kikwazo mzee hashimu rungwe mwenyewe alikuwa anafanya kampeni penye bus stand za zamani kila mkoa alikuwa ana kwenda kama sio sokoni gharama ni kubwa ya kampeni.
 
Nchi ingekuwa poa... kilimo kingepewa kipaumbele kinachostahili... huoni kutokana na mukulu anakotoka ndio kipaumbele huelekezwa zaidi?!... JK mambo ya nje angalia vi tripu... mukulu wa sasa ujenzi angalia ma fly-over reli... sasa mkulima huyu selekale ingehamia vijijini na kilimo kingekuwa juuu!.... Wakulima wangeipata tena heshima yao waliyoiporwa...
 
Mtu ambaye hajawahi kuwa na mamlaka akipewa makubwa humlevya, angetumia zaidi trial and error kama approach yake katika kuongoza.
Washauri wangemshikia sana maamuzi yake, angekua anavimbiana sana na wanaompinga hii ni kutokana na kuhisi anadharaulika kutokana na kutokua na cv iliyoshiba kisiasa.
 
Back
Top Bottom