OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Tatizo atakua amekeketwa.mmasai huyo
Daanh. . . .
Tatizo atakua amekeketwa.mmasai huyo
Hello, huyu hapa Doreen..... Ange google utamuona
Huku Afrika tunasifika kwa vichuguu tv chogo..kwa hiyo mtoto wa raisi anatakiwa adumishe mila za kiafrika si mambo ya flat screen viflat wapeleke nje...true say..n mwendo wa tv chogo
weka mwili mzima tuone shepu zao
Huyo ni yule wa Kagame bana
Mbona hamna picha ya huyo doreen weeewe chezea mtoto wa kagane ntoto wa lowasa ni saga jiwe tu lileee
hii sio haki kabisa tafwazari tuwekeeni na ya mwanaasha kikwete, princess of msoga muone atakavyofunika!
Please ya Mwanaasha msiiweke tutakimbia jukwaa la picha bure!
Hatutaki flat screen hata kama mzuri tunataka maturbo wadada waliobeba vichuguu nyuma...
wakuu si muende fb kisha tafuteni jina la Doreen Lowassa
hata mie nilileta hapa baada ya kuona wanafanana mnoo
japo pia kama unamfahamu Ange utajua hao wawili ni tofauti
wakuu si muende fb kisha tafuteni jina la Doreen Lowassa
hata mie nilileta hapa baada ya kuona wanafanana mnoo
japo pia kama unamfahamu Ange utajua hao wawili ni tofauti
View attachment 283103View attachment 283104
Hiyo Facebook ni ya Doreen Lowassa na Insta ni Official ya Ange Kagame kwa hiyo ni picha za mtu mmoja ambaye anaitwa Ange Kagame.
huyo Doreen anatumia kutafutia umaarufu tuu.