Ange Kagame Vs Doreen Lowasa

Ange Kagame Vs Doreen Lowasa

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,110
Wakuu kama Mzee Wa Monduli atafanikiwa kuingia magogoni basi Nadhani Tz itakuwa nchi nyingine yenye mtoto Wa raisi mrembo mithili ya Ange Kagame Wa Rwanda. ..

Ona hapo chini
 

Attachments

  • 1440827916396.jpg
    1440827916396.jpg
    31.6 KB · Views: 4,662
  • 1440827955876.jpg
    1440827955876.jpg
    24.4 KB · Views: 4,093
Daaaahhhhh....mleta mada hebu tufikirie sera kwanza, na ukapige kura Oct 25 kama unataka huyo binti awe binti wa rais

Aaaah kaka nimeona Rwanda mbali kumbe hapa hapa naweza muona Doreen Lowasa!!
 
This is silly...hizo picha zote ni za Ange, but again October hatuangalii uzuri wa mtoto wa mtu
 
This is silly...hizo picha zote ni za Ange, but again October hatuangalii uzuri wa mtoto wa mtu

Mkuu nenda kwenye Facebook page ya Doreen Lowasaa ndio utaona kama ni Ange au Doreen Huyo mwenye blue. ...siamini na sipendi uongo....
 
Hatutaki flat screen hata kama mzuri tunataka maturbo wadada waliobeba vichuguu nyuma...
 
Back
Top Bottom