Ange Kagame aolewa

Kuna binti wa Magu ameolewa na msela fulani hivi ni engineer pale Kinondoni,very humble huwezi kujua hata kama wana mahusiano na Magu.
 
Tembelea Kigali


Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala siyo watoto wa Kagame ila ukiingia Kigali utadhani wale watoto walichongwa!!
Kagame nilimuheshimu kwa kujifanya simple. Alikuwa anaendesha gari analeta watoto shule na ikifika saa ya kurudi anakuja kuwachukua ingawa ofcourse alikuwa na walinzi kama wawili but no escort. Sisi ambao tuliishi huko enzi hizo ndo amekuwa mkuu tunajua jinsi simple alikuwa. Nyarutarama oyeeee.
 
Duh

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mobutu mkuu,bata tu mwanzo mwisho hahah.
Kabisa mkuu. Yule mzee ukioa binti yake.ilikua kila ukienda kumtembelea anakupa bahasha ya kaki imejaa dola.na wakati wa harusi alikupa majumba kama 2 ulaya na pesa bank na gari mpya kama range rover. Kuna jamaa alizifaidi sana.alipata zali akapendwa na binti wa mobutu afu jamaa hana kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah hio ndio inaitwa kuishi paradise ukiwa duniani.

Huku kwetu hata uoe kwa rais, siku ukienda kuwatembelea wakwe lazima uwapelekee na zawadi za Matunda/Mbogamboga/vitenge vya wax wkt we mwenyewe choka mbovu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…