Ang'atwa uume na chatu akiwa chooni

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
8c5f16e6e363abad888a27357db34bd4.jpg

Image captionAttaporn Boonmakchuay

Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng'ata uume wake.

Attaporn Boonmakchuay,ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.

Madaktari wanasema kuwa Bw Attaporn ambaye alipoteza damu nyingi anaendelea vyema na matibabu.
4f4962d7ce2e32a574e3bb304ede31e8.jpg

Image copyrightAP BBTV CH7Image captionNyoka akitolewa katika choo hicho

Wafanyikazi walilazimka kukiharibu choo hicho.Baadaye nyoka huyo aliachiliwa na kuingia msituni.

Kisa hucho kilitokea wakati ambapo Attaporn mwenye umri wa miaka 38 alielekea katika choo chake nyumbani kwake huko Chachoengsao,mashariki mwa Bangkok kabla ya kwenda kazini siku ya Jumatano.

Wakati alipokuwa akitumia choo hicho alihisi uchungu mkali.

Image copyrightAPBBTV CH7Image captionNyoka aina ya chatu

''Nilihisi kama ambaye uume wangu ulikuwa umekatwa,Nyoka huyo alikuwa akinivuta kwa kutumia nguvu nyingi'',alisema.
 
Hivi kumbe Chatu huwa anang'ata?
 
Alivyoona dushe akadhani ni panya tayari kumfanya kitoweo/asusa kumbe ni dushe na mwenye dushe lake hakuwa tayari kupoteza dushe lake, hivyo akaamua kupambana na mke kusikia dushe la mumewe chatu anataka kulifanya kitoweo naye akaamua kuingia ulingoni kuhakikisha chatu hafanikiwi kufanya kitoweo dushe la mumewe.

Huyo nyoka nae ana makisudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom