Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,067
Imekua ni destuli sasa askari wetu kuuwana sababu ya mapenzi kitu ambacho siku za nyuma hakikuwapo kabisa.
Naomba sana mamlaka za ulinzi kuliangalia hili kwa kina hasa hasa katika zile nyakati za kuajiri, wachunguzeni vijana wanaofaa kwa kuajiriwa majeshini na wale wanao onekana na vinasaba vya ulava boi pigeni chini maana hao ndio tatizo. Watoto wa mama yaani wale wala baga na chips kamwe wasiruhusiwe kujiunga na majeshi yetu maana hao ndio ma lava boi wenyewe.