Angalizo watumiaji wa barabara ya Mwenge-Tegeta

Halafu walioshika tochi wengine wanavaa kiraia na wengine gwanda la kaki ili usiwaone.
 
Hii barabara njia za waenda kwa miguu zimepata nyufa na kumeguka kuanzia lugalo mpaka africana.inabidi mkandarasi arudie na amwagezege sio lami.
 
Nilifurahi na kuwapongeza sana traffic police kwa kuamua kukaa eneo hilo.Yaani hiyo sehemu waenda kwa miguu wakitaka kuvuka barabara lazima wakimbie kama wezi! kuna Zebra,mabango makubwa ya kuwaambia madereva kuhusu kupunguza mwendo lakini wapi! binafsi hujisikia vibaya sana nikiwa naendesha nikikaribia Zebra halafu mwenda kwa miguu anavuka barabara kwa kukimbia. Madereva wa Tanzania tustaarabike,kwa nini nchi hii ina matuta ya barabarani mengi kuliko nchi yeyote ile Afrika Mashariki na Kati?
 
Madereva wanaondesha magari wengine ni pasua kichwa kama madereva wa bodaboda. Unakuta mtembea kwa miguu anavuka barabara eneo la zebra crossing lakini dereva wa gari bado anampigia honi. Huwa nashangaa sana!
 
Back
Top Bottom