Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
Ndugu wapendwa
Kuna ofisi za TRA hapa Baruti zimeanzisha hii tabia ambayo sio nzuri..Ipo siku si nyingi mtaaibika
Ukifika pale kwa ajili ya kulipa kodi unaonyesha mkataba wako cha ajabu makaka wa pale wanakupeleka ati kununua mkataba kwa shilingi elfu moja
Wanadai huo ndio unatakiwa
Unapojaza unapelekwa kwa mdada mmoja pale ofisi za CCM
Huyu anajiita Advocate ..Anakwambia ulipe ...15,000 anagonga muhuri
Meneja husika naamini malalamiko haya umeyasikia hapo kwako na soon jtatu tutapeleka HQ kujua huyo mdada ni nani mnalazimisha watu wakalipie kwake elfu 15
Huu utapeli....Tuachane na hizi biashara za ajabu sio enzi hizi za Magufuli tutaiibishana