Angalizo na ushauri muhimu

Mpiga dili upo?[emoji1]

Huyu jamaa ni mpiga dili kule pm mkuu!!......soon nitatupia screenshot zake hapa baada ya kuifanyia pm yake hacking!
Hata kama ni masikhara naona unataka kupitiliza sasa! Na kama unachosema ni sahihi naomba ufanye hivyo sasa
Natumia jina halisi na picha pia ni tofauti kabisa na mtu anayetumia ID na picha bandia
Tunaweza kufanyiana utani wa hapa na pale lakini lazima heshima iwepo
 
Potezea Mtani, usiumie na watu wa mitandao, kama mkulu anasemwa vyovyote sembuse Mshana?
Achana nae huyo!
 
Maisha haya bana, yamejaa sarakasi sana.

Maisha yanapokuwa yameshakutandikwa ngwala hata ukiambiwa utoe milioni utatoa tu

Upo sawa kabisa mkuu, Kuna mambo yanaweza yakukute katika maisha na ukawa mtumwa wa hawa waganga kabisa,ukija shtuka ndiyo unagundua kua duuh,ulipotea!!

Anyway tunahitaji sana kumjua Mungu na kumtanguliza ktk kila jambo no matter ni jambo gumu au LA kawaida.
 
Ndugu Mshana kwa MTU ambae hajawahi pata misukosuko ya maisha ni ngumu sana kukuelewa,ila kwa sisi tuliowahi kutikiswa ipasavyo na maisha tunaelewa vema unachozungumza.

I agree with you kwa asilimia zote.
 
Kuna baadhi hudhani kuwa tukiandika tunajiandikia tuu
 
Mkuu usiogope neno mpiga dili,ni neno la kisiasa utalisikia sana hasa kwenye awamu hii ya tano!![emoji1] [emoji1] [emoji1].......wewe tulia kula bata na ile ratiba yako ya kusoma mafuriko ya pm inabidi uiongezee mda pia!![emoji1]
 
Bado nishauri tu kuwa ni vema tukawa na mipaka. ..!
 
Mimi bado nashauri ni vyema ukaongeza mda per day wa kusoma yale mafuriko ya pm![emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470] [emoji470]
 
Bado nishauri tu kuwa ni vema tukawa na mipaka. ..!
Daaaah! Hivi wewe mshana jr,huyu jamaa hujamwelewa tu? Na uchawi wako woote umeshindwa kujua anataka nini?

Any way,huyu anatafuta bwana humu jf,tena jina lake halisi anaitwa "chausiku zuberi" ni mzuri balaa

Sasa kama wewe unachezea bahati wacha tukuonyeshe mtoto anavyo tongozwa kiulainii ...
 
Haya yote yamesababishwa na kumkosa faizafoxy!!.....pole sana mkuu,haya yote ni maisha na kuna siku yatapita wala usihofu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…