Angalizo: Makongoro Nyerere ukiikubali nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM umekwisha kisiasa

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
Habari wakuu.

Hili ni onyo na angalizo kwa kijana wa Hayati Baba wa Taifa J.K. NYERERE; Ndg. Makongoro Nyerere.

Nimesikia umeteuliwa kuwa mjumbe wa NEC ya CCM. Hongera.

Sasa nasikia Mzee Kinana amejiuzulu.
Pia kuna tetesi kwamba wenye chama wanataka wakupe wewe hiyo nafasi.

Pamoja na kuwa wewe ni mwanafalsafa kiasi flani. Ila naamini wewe una utu na ni mpenda haki. Mapungufu yako mengine si hoja.
Sasa kwa wewe kuikubali hiyo nafasi itabidi uwe mtetezi wa Mwenyekiti na ufuate matakwa yake. Ndio hulka ya huyu mwenyekiti wenu wa sasa.
Kama hutaki anakushughulikia.

Je, utaenda kuisimamia CCM ipi ? Hii inayowabagua watanzania kwa vyama?! Eti ndg. Mako?!! Hii ya akina Mnyeti, Makonda na Mrisho Gambo. Ya kibaguzi na matabaka. .! Sio ile ya umoja wa watanzania ya mwl Nyerere.

Nakushauri kataa kabisa hiyo nafasi kama wkt ule ulivyoukataa ubunge wa kuteuliwa wa Mzee Mkapa.
Kulinda hadhi ya Mzee J.K. Nyerere kataa kabisa.

Kuna mawili utachafuka sana na hautasafishika tena ukiikubali.

Au la...uchague kunyamaza kama ilivyokuwa kwa Mzee Kinana.

Huo Ndio ushauri wangu.

Usijemalizwa kisiasa. Usijeua hadhi ya Baba wa Taifa.

Ahsante.
 
Makongoro Nyerere akiteuliwa kuwa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM nitawapongeza wana CCM kwani kwa ninavyomjua ataitendea sana haki hiyo nafasi na huenda tukamsahau kabisa Nape Nnauye na kutomkumbuka Humphrey Polepole ila kwa nafasi ya ama Katibu Mkuu wa CCM au Naibu Katibu Mkuu kwa ninavyomjua Makongoro hawezi na CCM watakuwa wamefanya Kosa kubwa mno. Ninachojua na ni suala la muda tu kwamba Mrithi wa Abdulrahman Kinana ni Mzee Mpogolo ambaye pia ni ' very loyal ' kwa Mwenyekiti wa Taifa na pia wanaendana mno Kimsimamo.
 
Usijemalizwa kisiasa. Usijeua hadi ya Baba wa Taifa.

Ahsante.
Hapo akayekufa kisiasa ni yeye au CCM? Makongoro awe katibu mkuu kweli? Haya bana
 
Makongoro Nyerere akiteuliwa kuwa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM nitawapongeza wana CCM kwani kwa ninavyomjua ataitendea sana haki hiyo nafasi na huenda tukamsahau kabisa Nape Nnauye na kutomkumbuka Humphrey Polepole ila kwa nafasi ya ama Katibu Mkuu wa CCM au Naibu Katibu Mkuu kwa ninavyomjua Makongoro hawezi na CCM watakuwa wamefanya Kosa kubwa mno. Ninachojua na ni suala la muda tu kwamba Mrithi wa Abdulrahman Kinana ni Mzee Mpogolo ambaye pia ni ' very loyal ' kwa Mwenyekiti wa Taifa na pia wanaendana mno Kimsimamo.
Naunga mkono hoja
 
Hayakuhusu akatae kwanini? Maneno hayo ungemwambia Mbowe alivyowapokea mafisadi kwenye CHADEMA, nakwambia Makongoro hata akipewa kazi ya ufagizi na wana CCM atakubali bila kufikiri mara mbili.
 
Habari wakuu.

Hili ni onyo na angalizo kwa kijana wa Hayati Baba wa Taifa J.K. NYERERE; Ndg. Makongoro Nyerere.

Nimesikia umeteuliwa kuwa mjumbe wa NEC ya CCM. Hongera.

Sasa nasikia Mzee Kinana amejiuzulu.
Pia kuna tetesi kwamba wenye chama wanataka wakupe wewe hiyo nafasi.

Pamoja na kuwa wewe ni mwanafalsafa kiasi flani. Ila naamini wewe una utu na ni mpenda haki. Mapungufu yako mengine si hoja.
Sasa kwa wewe kuikubali hiyo nafasi itabidi uwe mtetezi wa Mwenyekiti na ufuate matakwa yake. Ndio hulka ya huyu mwenyekiti wenu wa sasa.
Kama hutaki anakushughulikia.

Je, utaenda kuisimamia CCM ipi ? Hii inayowabagua watanzania kwa vyama?! Eti ndg. Mako?!! Hii ya akina Mnyeti, Makonda na Mrisho Gambo. Ya kibaguzi na matabaka. .! Sio ile ya umoja wa watanzania ya mwl Nyerere.

Nakushauri kataa kabisa hiyo nafasi kama wkt ule ulivyoukataa ubunge wa kuteuliwa wa Mzee Mkapa.
Kulinda hadhi ya Mzee J.K. Nyerere kataa kabisa.

Kuna mawili utachafuka sana na hautasafishika tena ukiikubali.

Au la...uchague kunyamaza kama ilivyokuwa kwa Mzee Kinana.

Huo Ndio ushauri wangu.

Usijemalizwa kisiasa. Usijeua hadi ya Baba wa Taifa.

Ahsante.
Huu siyo ushauri ni woga wako tu.
 
Makongoro Nyerere akiteuliwa kuwa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM nitawapongeza wana CCM kwani kwa ninavyomjua ataitendea sana haki hiyo nafasi na huenda tukamsahau kabisa Nape Nnauye na kutomkumbuka Humphrey Polepole ila kwa nafasi ya ama Katibu Mkuu wa CCM au Naibu Katibu Mkuu kwa ninavyomjua Makongoro hawezi na CCM watakuwa wamefanya Kosa kubwa mno. Ninachojua na ni suala la muda tu kwamba Mrithi wa Abdulrahman Kinana ni Mzee Mpogolo ambaye pia ni ' very loyal ' kwa Mwenyekiti wa Taifa na pia wanaendana mno Kimsimamo.
Briefly tupe wasifu wa mzee Mpogolo, ni nani ndani ya chama? Ana cheo gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom