tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Ndio maana siku zote nawaambia ninyi wapinzani hamna akili. Ona sasa jinsi mlivyo kigeugeuUnataka kuniambia 'M' kamzimika jamaa hadi anashikwa masikio?
Tutaporwa hadi na majirani mali zetu kwa uzuzu wetu.
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Na ndivyo ilivyo. Rais wetu yupo makini sana. Amejitoa sadaka kutuletea maendeleo wananchi. Nawashangaa hawa UKAWA wanavyowewesekaHaihitaji sayansi kuelewa kwamba M can do better hata bila K....
Historia za nchi, ukubwa wa nchi, uchumi, amani, demokrasia, kuheshimiana na kuvumiliana
M tafadhali sana, chukua machache mazuri, mengine yote yaache wabaki nayo wenyewe
Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Kwani hizo initials zinasimama badala ya nini? Kuwa na akii japo kwa muda mfupiWapi kamtaja raisi acha kuweweseka
Ni Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.Mmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Umenena Mkuu.Haihitaji sayansi kuelewa kwamba M can do better hata bila K....
Historia za nchi, ukubwa wa nchi, uchumi, amani, demokrasia, kuheshimiana na kuvumiliana
M tafadhali sana, chukua machache mazuri, mengine yote yaache wabaki nayo wenyewe
Tanzania ni nchi huru na tunafanya mambo yetu kwa umakini Mkubwa. Mpaka sasa majeshi yetu yapo DRC yakipambana kwa mafanikio na waasi wote bila kujali wanasaidiwa na nani. Tanzania ni nchi kubwaVipi mgongano wa maslahi kwenye kupiga wale M23 ambao inasemekana wana support ya Rwanda kuiba madini Congo? Tanzania itakuja kujitoa baada kuombwa na Rafiki yake?....natafakari tuu!!
Angalizo lako ni la msingi. Ila unapaswa kuelewa kuwa Rais wa nchi ni taasisi na si mtu mmoja. Wanapojadiliana hawafanyi kwa siri. Kunakuwa na wataalam wa masuala mbalimbaliNi Angalizo tu Lizaboni. Book saba yako iko pale pale. Kumbuka K ni mtaalamu sana wa manipulation. Unaona jinsi alivyoifanya katiba ya nchi yake.
Kauli za M zinaonesha yuko radhi afanye lolote analoambiwa na K, ambapo ni hatari sana kwa usalama.Unataka kuniambia 'M' kamzimika jamaa hadi anashikwa masikio?
Tutaporwa hadi na majirani mali zetu kwa uzuzu wetu.
Kwa upande wa usalama, Tanzania ni next level. Hakuna wa kutulinganisha katika ukanda huu wa Afrika ya MasharikiKauli za M zinaonesha yuko radhi afanye lolote analoambiwa na K, ambapo ni hatari sana kwa usalama.
nani kamtaja rais wewe??, acha kujistukia kama unaoga njeMmeshaanza kuweweseka. Tulieni. Hivi unadhani Raiwa nchi anafanya mambo kiholela? Rais hushirikiana katika yale tu yaliyojadiliwa na kukubaliwa na pande mbili. Ndio maana waliotiliana saini ya ushirikiano ni mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa nchi mbili na si Marais
Kwani huyu K si ndo mlisema tuige kutoka kwake ili nchi isonge mbele? Nini kinawauma sasa?mzee mtukila alisema kuhusu agenda ya kina K ....na M anaonekana kuingia kichwa kichwa...yetu macho