Angalizo la Bank ya wanawake

Angalizo la Bank ya wanawake

Dawson

Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
43
Reaction score
3
Napenda kutoa angalizo la hii bank ya wanawake Tanzania iliyofunguliwa hivi majuzi ni kwamba lengo kweli ni kuwasaidia wanawake au ni kama njia ya kupitishia hela za uchaguzi 2010 wadanganyika tuwe watazamaji hii bank haitafika 2011 utasikia sababu kibao or mara ilikuwa na mtaji kidogo or mara ........ maneno mengi tutasikia tuwe macho!!!
 
Back
Top Bottom