joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,819
Hujawaza ukifa wewe je
ha ha ha ha ukimpeleka huko stimu zote zitapoteaKwahiyo unataka nikipata Demu nimpeleke kwa balozi wa nyumba kumi,kisha nimpeleke kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa kisha nimpeleke Rita,nimpitishe na NIDA,ndio nile papuchi!
Acha ujinga
Kujibana niliachaga mie...ila Ukimwi sasa.ha ha ha bila hivyo maisha yatakuwa yamateso
kwake ndio itakuwa tatizoHujawaza ukifa wewe je
Maradhi ndio yanaogopesha mkuuKujibana niliachaga mie...ila Ukimwi sasa.
Yaan hapo tu,la sivyo ingekuwa bata sanaaaMaradhi ndio yanaogopesha mkuu
ha ha ha ha ndio hivyo ni kwenda kwa tahadhari tuYaan hapo tu,la sivyo ingekuwa bata sanaaa
Sure yanha ha ha ha ndio hivyo ni kwenda kwa tahadhari tu
Na sayansi pia imerahisisha kwa kutengeneza vitendea kaziSure yan
Ni vizuri kuwa risk takerJibu litapatikana nikikutwa na hiyo situation
Inasikitisha sanaNi hatari ila ndyo ajali kazini,
Kuna Dada alikua shule mkoa Mwingine mbali na home, zile rikizo fupi harudi home kumbe Sometimes anachomoka kwenda Kwa boyfriend, akapata ujauzito wakaforce kuutoa si akaanza kuumwa, mshkaji akaona huu msala akamtoroka Dada wa watu kamuacha ghetto kwake akafariki, majirani wameskia harufu, so sad wazazi wakaambiwa tu mje mchukue maiti.
Hahahaahahahhaha ha ha imenibidi nicheke tu.
Hatari sana haya mambo.Huyo kijana alitokomea au alipatikana?Ni hatari ila ndyo ajali kazini,
Kuna Dada alikua shule mkoa Mwingine mbali na home, zile rikizo fupi harudi home kumbe Sometimes anachomoka kwenda Kwa boyfriend, akapata ujauzito wakaforce kuutoa si akaanza kuumwa, mshkaji akaona huu msala akamtoroka Dada wa watu kamuacha ghetto kwake akafariki, majirani wameskia harufu, so sad wazazi wakaambiwa tu mje mchukue maiti.
Baadaye alipatikana, yaani inasikitishaHatari sana haya mambo.Huyo kijana alitokomea au alipatikana?
Hiyo ni ajali kazini
....
Usitutishe bwana
Eeeeh ndioDuuuh
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2960]