tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
Endelea kuishi jana😀😀😀😀We nawe utunze ajira ipi? Kuna uzi unaomba msaada wa kazi ngoja niutafute
Endelea kuishi jana😀😀😀😀We nawe utunze ajira ipi? Kuna uzi unaomba msaada wa kazi ngoja niutafute
ha ha ha..watu walikua hawana ajira kabisa,tra imekuja kuokoa jahazi halafu wanatukebehi tuliokosa.We nawe utunze ajira ipi? Kuna uzi unaomba msaada wa kazi ngoja niutafute
Sio kuwakebehi, nina mwaka tangu nimalize chuo na nilimaliza tu nikapata kazi yalotokea baadae niliwasimulia humu so sikuwa as idle as mnavyodhani. Kazi nimepata ndio na ni mipango ya Mungu na mimi sijakunyima so pambana na hali yako nasikia pia uliwahi kuwakashifu watu humu juu ya kozi walizosoma hahaaa haya na kozi yako unaendelea kusugua benchi huku vijana wanapeta...hilooooo najua kukosa imekuchooooomaaaaa kama pasi hivyo lazima utuonee wivu mkali ila ndo hivyo Mungu keshatupa huwezi kutupora, umejitapa mtaani oooh nimepata TRA halafu mwisho wa siku chaliiii, sie haooo tunaingia mzigoni. Uje leo pale HQ stesheni ushuhudie tunavyo saini contracts kwa furaha na madoido karoho kaendelee kukuuma😀😀😀ha ha ha..watu walikua hawana ajira kabisa,tra imekuja kuokoa jahazi halafu wanatukebehi tuliokosa.
ukisha sign huo mkataba upige picha uuweke humu jf ili kutuaminisha kama kweli umepata kazi huko unakokusema,maana am worrying about u na yule mwenzio anajiita sijui British nini..mmekua guzmo humu as if nyie tu ndio mtakua wa kwanza na wa mwisho kuingia tra.Sio kuwakebehi, nina mwaka tangu nimalize chuo na nilimaliza tu nikapata kazi yalotokea baadae niliwasimulia humu so sikuwa as idle as mnavyodhani. Kazi nimepata ndio na ni mipango ya Mungu na mimi sijakunyima so pambana na hali yako nasikia pia uliwahi kuwakashifu watu humu juu ya kozi walizosoma hahaaa haya na kozi yako unaendelea kusugua benchi huku vijana wanapeta...hilooooo najua kukosa imekuchooooomaaaaa kama pasi hivyo lazima utuonee wivu mkali ila ndo hivyo Mungu keshatupa huwezi kutupora, umejitapa mtaani oooh nimepata TRA halafu mwisho wa siku chaliiii, sie haooo tunaingia mzigoni. Uje leo pale HQ stesheni ushuhudie tunavyo saini contracts kwa furaha na madoido karoho kaendelee kukuuma😀😀😀
Mimi sio hao wa ajira 400 za TRA na hata sifanyi kazi serikalini wala si hata kwenye moja ya taasisi zake ila kuna vitu binafsi nitavifanyia kazi pia.Habari za wikiendi wakuu.
Naandika uzi huu kuwakumbusha vijana wote walioajiriwa na TRA katika zile nafasi mpya 400: na hapa nitaegemea kwa wale ambao hawajawahi kufanya kazi katika utumishi wa umma.
Kwanza nawapa hongera wale wote waliopambana na kupenya kwenye mchujo wa watu zaidi ya 8000 na hatimaye kuwa miongoni mwa watu 400 walioajiriwa.
Pili, ieleweke kuwa wote waoitwa kwenye usaili walikuwa na sifa za kuajiriwa ila kwa kuwa nafasi zilikuwa 400 kivyovyote lazima wengine wakose.
Ninawasihi, kafanyeni kazi mliyoiomba na siyo kuweka mbele maslahi yenu.
Aidha, kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi wa umma toleo la 3 la mwaka 2009 mtumishi wa umma anapoajiriwa lazima afanye kazi katika kipindi cha majaribio yaani 'probation' kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Kwa wale wanaoajiriwa katika senior post ni miezi sita.
Probation ni sehemu muhimu ambayo mwajiri huitumia kujiridhisha ubora wa mtu aliyemwajiri na mwajiri anayo mamlaka ya kusitisha ajira hiyo endapo atajiridhisha kuwa mtu aliyemwajiri siyo mtu sahihi wa kuweza kutimiza malengo ya kazi husika.
Pia, wakati wa probation hufanyika kitu kinaitwa 'vetting' kwa lugha nyingine ni upekuzi.
Vetting mara nyingi hufanyika kwa siri kubwa ikiwahusiha maofisa mbalimbali wa serikali na idara za usalama unaowafahamu na hata usiowafahamu.
Sasa kwa wale ambao wameomba kazi kwa malengo tofauti na maslahi ya umma basi wajiandae kisaikolojia kwa jambo lolote baya linaloweza kuwakuta.
Aidha ieleweka kuwa serikali ya awamu ya 5 chini mzee wa tingatinga mh John Pombe Magufuli inasisitiza suala la kulipa kodi na ukusanyi kodi ili kuweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hivyo basi waajiriwa wapya hamna budi kwenda kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma kwa uzalendo uliotukuka.
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukufanya uondolewe haraka kazini na kupoteza kazi wakati wa kufanyiwa Vetting ni kama yafuatayo:
1. KUWEKA TAARIFA ZA UONGO KWENYE CV NA KATIKA TAARIFA ZA AJIRA. Hapa inahusisha pia vyeti feki
2. Utovu wa nidhamu
3. Kutoendana na kazi (incompatibility)
4. Utendaji usioridhisha (incapacity/inefficiency)
5. Matumizi mabaya ya madaraka
6. Historia ya kuwa na makosa ya jinai
7. Uzembe kazini (negligence)
8. Siasa kazini
9. Maadili mabovu yanayochafua taswira ya utumishi wa umma
10. Kujilimbikizia mali
11. Rushwa
N.k.....
Hayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kuhatarisha ajira yako na kuweza kukusababisha kuwa suspended ndani ya muda mfupi kazini.
Mwisho; mkumbuke kuwa Vetting ni zoezi endelevu na halina ukomo.
Pia, kama nilivyotangulia kusema awali kwamba kuna wengi walifaulu ila wamekosa nafasi hivyo ukiondolewa inaingizwa reserve list.
Bw. British SAS naamini unausoma uzi huu, punguza majigambo na kuwakera waliokosa vinginevyo unaweza ukashindwa kazi yenyewe bila hata kumaliza mwaka.
NAWATAKIA KILA LA HERI MKAJENGE NCHI NA KUTANGULIZA UZALENDO BADALA YA KUFIKIRIA KWENDA KUJITAJIRISHA
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
Sheria muhimu za utumishi za kujifunza uwapo kazini
1. Kanuni za kudumu za utumishi wa umma toleo la 3 la mwaka 2009. Hii ni muhimu sana inaeleza mambo muhimu sana karibu yote
2. Sheria ya kazi na uhusiano kazini ya mwaka 2004 na code of good practice 2007
3. Sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003.
Kwamba nipige picha then niiweke hapa?? Mkuu hiyo itakua ni akili natumia au natumia tope?? Nilifaulu mitihani miwili ya makinikia so do not underestimate the ability i possess tafadhali.ukisha sign huo mkataba upige picha uuweke humu jf ili kutuaminisha kama kweli umepata kazi huko unakokusema,maana am worrying about u na yule mwenzio anajiita sijui British nini..mmekua guzmo humu as if nyie tu ndio mtakua wa kwanza na wa mwisho kuingia tra.
tafakarini namna ya kwenda kuanza majukumu yenu mapya sio kujibishana hovyo humu na watu msiowajua,watumishi gani wa umma mnazodoana na wananchi,ethics za utumishi wa umma mnazijua kweli?
Uko sahihi hatukupaswa kujibizana nao ila kuna muda inabidi tuwekane sawa, since day one tumepewa matokeo watu humu ni kutuponda tu na kutuzodoa na mitahadhari kibao, wengine walikua miongoni mwa waliosahiliwa pamoja nasi ila ghafla wamekua adui zetu na wivu umewajaa. Ngoja tuwadolishe na kuwanyoosha kidogo😀😀😀😀ukisha sign huo mkataba upige picha uuweke humu jf ili kutuaminisha kama kweli umepata kazi huko unakokusema,maana am worrying about u na yule mwenzio anajiita sijui British nini..mmekua guzmo humu as if nyie tu ndio mtakua wa kwanza na wa mwisho kuingia tra.
tafakarini namna ya kwenda kuanza majukumu yenu mapya sio kujibishana hovyo humu na watu msiowajua,watumishi gani wa umma mnazodoana na wananchi,ethics za utumishi wa umma mnazijua kweli?
sijui mimi ndio nazeeka vibaya,so far sijaona mtu aliyewaonea wivu humu,threads nyingi ninazokutana nazo ni za watu kuwasifia na kuwaasa.Uko sahihi hatukupaswa kujibizana nao ila kuna muda inabidi tuwekane sawa, since day one tumepewa matokeo watu humu ni kutuponda tu na kutuzodoa na mitahadhari kibao, wengine walikua miongoni mwa waliosahiliwa pamoja nasi ila ghafla wamekua adui zetu na wivu umewajaa. Ngoja tuwadolishe na kuwanyoosha kidogo😀😀😀😀
Threads nyingine si za kutupondea direct ila comments baba ni hatari, watu wanatuzodoa sana hadi inaumiza mkuu. Ila nimeacha sasa sintowajibu tena vibaya.sijui mimi ndio nazeeka vibaya,so far sijaona mtu aliyewaonea wivu humu,threads nyingi ninazokutana nazo ni za watu kuwasifia na kuwaasa.
hahaha siwatishi mkuu.CCM MKAMBARANI HAHAHAHA MBONA UNAWATISHA CHADEMA MKUU. LA MSINGI WAKIFIKA KAZINI WAACHE SIASA WAFANYE KAZI.
Samaritan NIMEKUELEWA MKUU TUKO PAMOJA, MOTISHA NI MUHIMU KWA WAFANYAKAZI, MAHR WATAENDELEZA MBNU ZA KUMOTIVATE EMPLOYEES
Troll JF MUACHE Perry APUMZIKE MKUU
Mkuu hii thread yako ni valuable sana kwa kila aitwaye Mtumishi...maana context yake hawagusi tu wale ambao ni waajiriwa wapya bali pia wale ambao wanaendelea na ajira zao (wakongwe).
Nashukuru kwa ukumbusho mkuu...ubarikiwe!
hahaha siwatishi mkuu.
Threads nyingine si za kutupondea direct ila comments baba ni hatari, watu wanatuzodoa sana hadi inaumiza mkuu. Ila nimeacha sasa sintowajibu tena vibaya.
sijui mimi ndio nazeeka vibaya,so far sijaona mtu aliyewaonea wivu humu,threads nyingi ninazokutana nazo ni za watu kuwasifia na kuwaasa.
Mimi sio hao wa ajira 400 za TRA na hata sifanyi kazi serikalini wala si hata kwenye moja ya taasisi zake ila kuna vitu binafsi nitavifanyia kazi pia.
ukisha sign huo mkataba upige picha uuweke humu jf ili kutuaminisha kama kweli umepata kazi huko unakokusema,maana am worrying about u na yule mwenzio anajiita sijui British nini..mmekua guzmo humu as if nyie tu ndio mtakua wa kwanza na wa mwisho kuingia tra.
tafakarini namna ya kwenda kuanza majukumu yenu mapya sio kujibishana hovyo humu na watu msiowajua,watumishi gani wa umma mnazodoana na wananchi,ethics za utumishi wa umma mnazijua kweli?
Kwamba nipige picha then niiweke hapa?? Mkuu hiyo itakua ni akili natumia au natumia tope?? Nilifaulu mitihani miwili ya makinikia so do not underestimate the ability i possess tafadhali.
Hahaa mkuu shaka ondoa, siwezi kufanya kosa la kizembe namna hiyo.MKUU USIWEKE WATAKUHARIBIA KIBARUA