Angalizo kwa waajiriwa wapya wa TRA

Angalizo kwa waajiriwa wapya wa TRA

Ndiyo mkuu PAYE

Wale wafanyakazi wanaosamehewa kodi inakuaje? Kwanini hao wa TRA isingekuwepo namna ya wao kupata huo unafuu? Kama shirika/kampuni inapewa msamaha kwa wafanyakazi wake, iweje kikwazo kwa wale wa TRA?
 
Samaritan HAPO SIJUI MKUU, USHAURI MZURI LAKINI UKIFANYA HVYO WENGNE PIA WATANUNG'UNIKA.

Umetoa ushauri mzuri. Kwa mtazamo wangu, sio tu kwa wafanyakazi wapya wa TRA, uadilifu ni kitu muhimu sana kwenye ajira yoyote bila kujali cheo wala daraja ulilopo. Unaweza kufanya jamvo leo likaja kukuharibia mambo mazuri baadae wakati umeshasahau matendo ya nyuma.

Uaminifu, uadilifu, kufanya kazi kwa bidii na ufanisi, vinamchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya ajira na maisha binafsi.

Hili la kodi acha wataalam watusaidie inakuaje hapo. Kwa mfano waliopo serikalini, wengine wanachangia 5% na mwajiri 15% kwenye mfuko wa jamii ya mafao. Sekta binafsi, wengi ni 10% mwajiri na 10% mwajiriwa.

Bdio hapo nikawaza, kwa hawa wafabyakazi wa TRA, kodi yao ikoje? Wabunge nao wanalipa kodi?
 
Habari za wikiendi wakuu.

Naandika uzi huu kuwakumbusha vijana wote walioajiriwa na TRA katika zile nafasi mpya 400: na hapa nitaegemea kwa wale ambao hawajawahi kufanya kazi katika utumishi wa umma.

Kwanza nawapa hongera wale wote waliopambana na kupenya kwenye mchujo wa watu zaidi ya 8000 na hatimaye kuwa miongoni mwa watu 400 walioajiriwa.

Pili, ieleweke kuwa wote waoitwa kwenye usaili walikuwa na sifa za kuajiriwa ila kwa kuwa nafasi zilikuwa 400 kivyovyote lazima wengine wakose.

Ninawasihi, kafanyeni kazi mliyoiomba na siyo kuweka mbele maslahi yenu.

Aidha, kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi wa umma toleo la 3 la mwaka 2009 mtumishi wa umma anapoajiriwa lazima afanye kazi katika kipindi cha majaribio yaani 'probation' kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Kwa wale wanaoajiriwa katika senior post ni miezi sita.

Probation ni sehemu muhimu ambayo mwajiri huitumia kujiridhisha ubora wa mtu aliyemwajiri na mwajiri anayo mamlaka ya kusitisha ajira hiyo endapo atajiridhisha kuwa mtu aliyemwajiri siyo mtu sahihi wa kuweza kutimiza malengo ya kazi husika.

Pia, wakati wa probation hufanyika kitu kinaitwa 'vetting' kwa lugha nyingine ni upekuzi.

Vetting mara nyingi hufanyika kwa siri kubwa ikiwahusiha maofisa mbalimbali wa serikali na idara za usalama unaowafahamu na hata usiowafahamu.

Sasa kwa wale ambao wameomba kazi kwa malengo tofauti na maslahi ya umma basi wajiandae kisaikolojia kwa jambo lolote baya linaloweza kuwakuta.

Aidha ieleweka kuwa serikali ya awamu ya 5 chini mzee wa tingatinga mh John Pombe Magufuli inasisitiza suala la kulipa kodi na ukusanyi kodi ili kuweza kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Hivyo basi waajiriwa wapya hamna budi kwenda kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma kwa uzalendo uliotukuka.

Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kukufanya uondolewe haraka kazini na kupoteza kazi wakati wa kufanyiwa Vetting ni kama yafuatayo:

1. KUWEKA TAARIFA ZA UONGO KWENYE CV NA KATIKA TAARIFA ZA AJIRA. Hapa inahusisha pia vyeti feki
2. Utovu wa nidhamu
3. Kutoendana na kazi (incompatibility)
4. Utendaji usioridhisha (incapacity/inefficiency)
5. Matumizi mabaya ya madaraka
6. Historia ya kuwa na makosa ya jinai
7. Uzembe kazini (negligence)
8. Siasa kazini
9. Maadili mabovu yanayochafua taswira ya utumishi wa umma
10. Kujilimbikizia mali
11. Rushwa
N.k.....

Hayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kuhatarisha ajira yako na kuweza kukusababisha kuwa suspended ndani ya muda mfupi kazini.

Mwisho; mkumbuke kuwa Vetting ni zoezi endelevu na halina ukomo.

Pia, kama nilivyotangulia kusema awali kwamba kuna wengi walifaulu kama ndugu yangu Perry ila wamekosa nafasi hivyo ukiondolewa inaingizwa reserve list.

Bw. British SAS naamini unausoma uzi huu, punguza majigambo na kuwakera waliokosa vinginevyo unaweza ukashindwa kazi yenyewe bila hata kumaliza mwaka.

NAWATAKIA KILA LA HERI MKAJENGE NCHI NA KUTANGULIZA UZALENDO BADALA YA KUFIKIRIA KWENDA KUJITAJIRISHA

[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]

Sheria muhimu za utumishi za kujifunza uwapo kazini

1. Kanuni za kudumu za utumishi wa umma toleo la 3 la mwaka 2009. Hii ni muhimu sana inaeleza mambo muhimu sana karibu yote
2. Sheria ya kazi na uhusiano kazini ya mwaka 2004 na code of good practice 2007
3. Sheria ya utumishi wa umma namba 8 ya mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2003.
 
naomba tusitafutiane ban kwa nguvu please,sitaki kuwa mentioned kwenye mambo kipuuzi,nilikwisha tangaza kuufunga mjadala wa tra kwa upande wangu,so kuendelea kunifanyia reference ni kunitafuta uchokozi makusudi.
 
Samaritan NI KWELI KABISA, UADILIFU NI JAMBO LA UMUHIMU KATIKA UTUMISHI

KUHUSU MAKATO YA HIFADHI YA JAMII MKUU, NI SUALA LA KISHERIA AMBAPO IMEELEZA KUWA, MWAJIRI ANATAKIWA KUCHANGIA ANGALAU 10% AU ZAIDI NA MWAJIRIWA ANATAKIWA KUCHANGIA 5%-10% ILA ISIZIDI HYO 10%

NADHANI PRIVATE SECTORS NYING WAMECHAGUA HYO 10 KWA 10 NA PUBLIC SECTOR WAMECHAGUA 15 KWA 5

ILA JUMLA YA MICHANGO NI LAZIMA IWE 20% (MINIMUM) YA BASIC SALARY LAKINI ISIZID 10% KUTOKA KWENYE MAKATO YA MWAJIRIWA

KUHUSU KODI YA MSHAHARA MKUU NADHANI WAPO MAOFISA AMBAO HAWAKATWI KODI

NILIWAHI KUSIKIA MJADALA BUNGEN KUWA WABUNGE HAWAKATWI PAYE
 
Nafikiri umeanza kuelewa kwa nini nauliza kodi kwa wafanyakazi wa TRA, kama kila watu kama sio waliowengi wanamotisha kwenye eneo lao la kazi, mfano tanesco, wanapewa unit kadhaa za bei nzuri, wabunge wanasamehewa kodi, baadhi ya mashirika wanasamehewa kodi, wale wa nssf huenda nao kuna namna wananufaika, hawa wenzetu wa TRA inakuaje?

Kuna wengine wanakatwa 7% mwajiri anatoa 15% jumla inakua kitu kama 22% mafao.
 
naomba tusitafutiane ban kwa nguvu please,sitaki kuwa mentioned kwenye mambo kipuuzi,nilikwisha tangaza kuufunga mjadala wa tra kwa upande wangu,so kuendelea kunifanyia reference ni kunitafuta uchokozi makusudi.
Uchungu! Pole sana Mkuu.
 
Nafikiri umeanza kuelewa kwa nini nauliza kodi kwa wafanyakazi wa TRA, kama kila watu kama sio waliowengi wanamotisha kwenye eneo lao la kazi, mfano tanesco, wanapewa unit kadhaa za bei nzuri, wabunge wanasamehewa kodi, baadhi ya mashirika wanasamehewa kodi, wale wa nssf huenda nao kuna namna wananufaika, hawa wenzetu wa TRA inakuaje?

Kuna wengine wanakatwa 7% mwajiri anatoa 15% jumla inakua kitu kama 22% mafao.
Mkuu wana SACCOS yao yaani watakaopewa Barua Kesho Wako Legible kuchukua Mkopo Kwa riba ya Kutupwa.
 
Saccos ipo sehem nyingi na sio miongoni mwa marupurupu ya mwajiriwa yaliyoainishwa kisheria kama miongoni mwa stahiki zake.
 
CCM MKAMBARANI HAHAHAHA MBONA UNAWATISHA CHADEMA MKUU. LA MSINGI WAKIFIKA KAZINI WAACHE SIASA WAFANYE KAZI.

Samaritan NIMEKUELEWA MKUU TUKO PAMOJA, MOTISHA NI MUHIMU KWA WAFANYAKAZI, MAHR WATAENDELEZA MBNU ZA KUMOTIVATE EMPLOYEES

Troll JF MUACHE Perry APUMZIKE MKUU
 
Shukrani kwa somo zuri mkuu, na wengine wangekua wanakuja na ushauri murua kama huu badala ya kupondea mara oooh TRA hakuna kitu mara sijui mishahara midogo mara sijui utumishi hivi mara utumishi vile tungekua na hints nyingi zaidi za namna ya kutunza ajira zetu badala ya masimango. Barikiwa sana mkuu.
We nawe utunze ajira ipi? Kuna uzi unaomba msaada wa kazi ngoja niutafute
 
Back
Top Bottom