Angalizo: Kwa usalama wako kama una afya nzuri na huwezi vumilia stress usiende kupima VVU

Siku hizi Hospital zote za Serikali lazima upimwe kama hutaki hupewi huduma nyingine, baada ya kujaza taarifa zako mapokezi unapokelewa kwa mbwembwe na sehemu ya kwanza wanaita vipimo vya awali hapo hakuna namna ni lazima na baadhi ya private hospital wanakupa option kama unataka kupimwa. Nilitamani kutoa chozi hapo kipimo cha awali ila nikaona naumwa halafu nakimbia nini sasa itavokuwa na iwe ina nashukuru majibu yalikuwa safi toka siku hiyo sitaki mazoea na watoto wa kike kabisa maana wewe sikua tuu ila ukipima unakuwa na amani ya moyo acha tuu
NB: Sikwenda kwa ajili ya kupima HIV ila ilinibidi ili kupata huduma zingine lazima nipimwe, nafikiria ambao wanakutana na situation hii halafu wanakuta kitu imo sijui inakuwaje aisee lazima upungue kilo kama 100 hivi ndani ya wiki.
 
Raia Wana HIV positive,Wanakunywa dawa na wanadunda kitaa kama kawaida.

Upande wangu siwezi kwenda pima hiyo kitu.
Acha kujidanganya ndugu yangu hakuna kudunda we sikia tu stori za mtaani Ukimwi ni hatari, hao wanaokunywa dawa ni kama gari ya mkaa tripu shamba tripu gereji, leo mzima kesho unaamka mgonjwa.. huna uhakika wa maisha... ugonjwa unaokunywa dawa kila siku si hatari? Ukimwi ni tishio Mungu atuepushe
 
Mkuu binafsi siwez Kupuuza kwa ninayoyaona elimu inahitajika Sana kwa jamii yetu

Elimu inahitajika kwako na kwa jamaa yako zaidi kuliko kwa jamii, mbona ukipima na kukubari matokeo ndio unapata fursa ya kuishi kwa amani zaidi yaani mchafu hachafuki. Halafu wewe ndio umemtia pressure sababu kakuona mshakjai wake na unakifua kumbe we ndio bure kabisa sasa hofu yake wewe unamtangaza badala ya kumtia moyo wakati huu na anakujua nje ndani.
 
Unaweza kuta ni false positive results, mwambie jamaa aendelee na maisha kama kawaida aachane na hizo propaganda za wazungu, saa hizi wameshatengeneza cha ebola wapo bize kukisambaza
 
Siku hizi Hospital zote za Serikali lazima upimwe kama hutaki hupewi huduma nyingine, baada ya kujaza taarifa zako mapokezi unapokelewa kwa mbwembwe na sehemu ya kwanza wanaita vipimo vya awali hapo hakuna namna ni lazima na baadhi ya private hospital wanakupa option kama unataka kupimwa. Nilitamani kutoa chozi hapo kipimo cha awali ila nikaona naumwa halafu nakimbia nini sasa itavokuwa na iwe ina nashukuru majibu yalikuwa safi toka siku hiyo sitaki mazoea na watoto wa kike kabisa maana wewe sikua tuu ila ukipima unakuwa na amani ya moyo acha tuu
NB: Sikwenda kwa ajili ya kupima HIV ila ilinibidi ili kupata huduma zingine lazima nipimwe, nafikiria ambao wanakutana na situation hii halafu wanakuta kitu imo sijui inakuwaje aisee lazima upungue kilo kama 100 hivi ndani ya wiki.
Watoto wakike?? ko wewe utaki mambo ya kwichikwichi
 
Nataman ingewekwa sheria, ya mtu akiambukiza mwenzie huo ugonjwa apewe adhabu kali, maana wenye nao hta ukisema twende tukapime, utaskia ko huniamini!? ndo kama usha penda utasema amn bby nilkua naongea tu' kama ujapenda sorry. kumbe ndo umejichoma baada ya kula mkazo kama ataki kwenda kupima aende zake'
 
Kwa niliyopitia Mkuu wacha nitulie tuu kama Chris Rock anavosema “ I love pussy, but I like peace more . Peace is better than pussy”
Ko hata kwenda nae kupima hutaki!? Au ndo umuamini mtu? Coz hata mkipima atachepuka akakuketea?
 
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
Cipimi
 
Back
Top Bottom