Angalizo: Kwa usalama wako kama una afya nzuri na huwezi vumilia stress usiende kupima VVU

Raia Wana HIV positive,Wanakunywa dawa na wanadunda kitaa kama kawaida.

Upande wangu siwezi kwenda pima hiyo kitu.
Hahaha kwanini mkuu? Ila kikubwa ni kujitambua Kua ukoje maaana daah maisha ya VVU sio aisee
 
Yan mtu unatoka nyumbani kwako unaend hospitali kupima ngoma???? Ili ugundue nini???? Ukishajikuta nao unafanya je???? Tatizo tunapenda kujipa stress bure. Kapime magonjwa yenye tiba⛺⛺⛺⛺
 
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!

Huyo jamaa yako itakua hakupewa councelling vizuri watu wana ukimwi na wanaishi mpk 30yrs and more
 
Yan mtu unatoka nyumbani kwako unaend hospitali kupima ngoma???? Ili ugundue nini???? Ukishajikuta nao unafanya je???? Tatizo tunapenda kujipa stress bure. Kapime magonjwa yenye tiba
Mkuu ili upate nafasi ya kusoma nje ya nchi unajaza form za medical, hivyo lazima upimwe na ukichakachua ukifika kule unapimwa airport ,
 
Raia Wana HIV positive,Wanakunywa dawa na wanadunda kitaa kama kawaida.

Upande wangu siwezi kwenda pima hiyo kitu.
Ukiumwa sana utaenda kupima tu, huwa haina jinsi.Nimepima na sasa najilinda najiamini, nitaendelea kupima kila miezi 3.
 
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
Hapo ndipo huwa watu hawamuelewi Deception ,kuwa na HIV haimaanishi una AIDS..hv vitu havina uhusiano.

Ndio maana jamaa yako alikuwa na afya tele pamoja na kuwa HIV positive,so kinachomuangamiza sasa hivi ni matatizo ya kisaikolojia kutokana na hayo majibu.

Ukishakuwa stressed lazima kinga iyumbe hapo ndipo maradhi mengine yataanza huku lawama zote akipewa HIV kumbe wala hana hatia.
 
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
Sipendi, sihitaji, sifikirii, sijisikii, siwezi kupima UKIMWI

Ova
 
Hofu Ya Nini Wakati ARV zipo? Hata ukikataa kupima kwa hiari utapimwa tu kwa namna nyingine japo hutaambiwa kama umepata maambukizi. Ukiumwa Maleria Ukaenda Hospitalini fahamu na ukimwi utapimwa bila hiari yako, ukitaka majibu utaambiwa
 
Back
Top Bottom