Angalizo: Kwa usalama wako kama una afya nzuri na huwezi vumilia stress usiende kupima VVU

Sasa kiongozi una kg 65 ukipungua 100 unabakiwa na ngapi??????.......
😂😂😂😂😂😂 hapo ni ku R.I.P tuu Mkuu maana ubebaji wa tatizo tunatofautiana wengine stress zitatuondoa hata kabla hatujaanza dozi Mkuu, nikuomba tuu hili janga lisikufike aisee.
 
Sawa kufa nitakufa ila bora nife kwa mengineyo...usijifariji... ni sawasawa uko maskini unakula shida takatifu.. unamuona mtu tajiri anakula bata unasema aaah ataviacha tu akifa 🤣🤣🤣 hivyo nikujifariji ili uone mnafanana... kweli ataviacha ila anaishi maishi mazuri kuliko wewe.... ww unakula shida mwanzo mwisho.. na bado moto unakusubiri maana ukiwa maskini wivu chuki majungu uchawi haviko mbali na ww
Umepanik, nimekukumbusha tu utakufa sababu ya sentensi yako "unakuwa huna uhakika wa maisha" Hakuna aliye na uhakika wa maisha, hapo ulipo hujui umo ndani ya huo mwili wako gonjwa gani linakunyemelea. Kuna kansa hatari kuliko ukimwi, kuna ini kufeli nk nk(BINADAMU UKIWA HAI NI MUNGU TU AKULINDE) ila pia nikatoa angalizo kwa sisi wengine kuwa tusiutafute ukimwi sababu tu tutakufa. Hayo ya masikini sijui tajiri mara uchawi ni yako na fikra zako.
 
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
Baada ya kupungua ndo alifariki au?
 
Mmh! Akuna malefu yasiyo kua na ncha. Aliyataka mwenyew vituo vya afya nadhan kipind hicho vilkuepo na kupima ilkua ni bure so ajilaum mwwnyew.
 
Back
Top Bottom