Angalizo kwa maafisa utumishi

Angalizo kwa maafisa utumishi

Ma HR mtawalaumu bure, tatizo lipo kwa MAGUFULI sijui kwanini hamuelewi.
 
Kuna mtu ameajiriwa mwaka 2010 hajapanda mshahara hadi leo.Watu walioajiriwa naye mwaka huo wa kada moja wamepanda hadi Milioni wakati yeye yuko laki sita tu.
Hata hivyo maafisa utumishi huenda wana kinga fulani kama mahakimu hata akikuonea huwa hawafanywi lolote!
Usemacho ni kweli kabisa, pia unakuta ajira mwaka mmoja wilaya fulani wamepanda ukienda kwa afisa utumishi wako anakwambia serikali haina hela. Je ile wilaya waliopanda serikali yao hela wametoa wapi ?
Basi nijibu kwa maandishi hataki anarukaruka tu.
 
Back
Top Bottom