Angalizo kwa baadhi ya wana JF

kwahiyo kumbe kuna watu wanakulana humu pasikuwa wanandoa?[emoji134][emoji134][emoji20][emoji20]
 
Hii ni taarifa ya uchochezi, yenye uzandiki, iliyojaa wivu na chuki na kusheheni woga na wasiwasi wa maisha, pambana na breakup na kibamia chako
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Umegundua umepangwa foleni namba ngapi?mwenzetu inaomesha una uzoefu wa kutongoza JF. Hebu shusha ushahidi vinginevyo utafanya kauli ya Trump ionekane kweli...shithole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…