Angalizo kwa baadhi ya wana JF

Aidha wewe ndo umewapanga au umepangwa sasa unaamua kuja kututaarifu na fake id. Ungekuwa muungwana ungekuja na id yako ya cku zote na kutoa ushauri. By the way asante kwa ushauri
 
Kutokana na nyuzi za aina hii kuwepo na hii siyo ya kwanza huwa najikuta naamini kwa asilimia kubwa tu kwamba haya yapo na yataendelea kuwepo.

Ila yale Mazwazwa ndio yatakayoangamia.
 
Well said mkuu UKIMWI upo wapendwa endeleeni kueka eka na kuekwa ekwa ovyo.
 
Kutokana na nyuzi za aina hii kuwepo na hii siyo ya kwanza huwa najikuta naamini kwa asilimia kubwa tu kwamba haya yapo na yataendelea kuwepo.

Ila yale Mazwazwa ndio yatakayoangamia.
Mazwazwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
habari chief!
kwann zinaogopwa wasema?
Habar za Chief ziko poa sanaaaa km kwako !!.

Zinaogopwa sababu JF society ndogo sana ambayo yanayofanyika humu ni Recycling process ,, humu ndio mahali pekee ukisikia "Mtandao unaupata" na wala hawaogopi[emoji23] [emoji23] .

Ukimwi upo ,anayejifanya kutouona kuna mawili----
[emoji117] [emoji117] Anangoma kabisaa ,kwaiyo anawapoteza watu ( siunajua shetan nishetani).
[emoji117] Anafanya sanaaaaaaa ngono zembe alafu nimwoga kupima sasa anajipa Moyo ( Haupo[emoji23] [emoji23] ).

Nachofurahia ,, siku izi wanajitokeza watu mbali mbali kuzungumzia ...Sure Africans ndio binadam pekeee wasoogopa Ukimwi.
 
Hii ni jamii kama jamii nyingine!! Yaliyomo humu yapo mitaani pia. La zaidi ni kuwa makini tuu!!!

Asante kwa angalizo pia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…