nyarutarama
Member
- Dec 20, 2017
- 13
- 13
umeshajua sababu kubwa ni niniHabarini wanajamvi,
Heri ya mwaka mpya.
Leo imenibidi nitumie ID ingine.
Kuna wana jf humu ndani sijui ndo stress au nini? utakuta bi dada kapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote anatoka nao kimapenzi tena pekupeku bila hata kujali magonjwa, mkaka nae the same same thing, ni kitu kibaya sana kwa maisha tuliyonayo sasa ni hatari mno, hatuangalii nyuma yetu kuna akina nani wanatuangalia ( hapa nasemea kwa wenye familia kama za kwetu wenye madogo nyuma yetu na wazazi/walezi wanaotuangalia), wazazi/walezi hawafurahishwi na haya mambo, hivi ni mzazi/mlezi gani angependa kuona mwanae anaishia kumeza ARVs?!? . Ukimwi ni hatari sana jamani, kumeza dawa kila siku si mchezo, Tuwe aangalifu, we have to use ABC
Abstain from sex, Be careful,use Condom.
Alamsiki
Kwan hao wanaosemekana ni wagonjwa wanaumwaga nini mkuu?? Nilionaga uzi mmoja wenye ujumbe kwamba ukimwi haupoNani kakwambia UKIMWI upo?
Utafute huo uzi usome kwa makini kisha ndio urudi hapa.Kwan hao wanaosemekana ni wagonjwa wanaumwaga nini mkuu?? Nilionaga uzi mmoja wenye ujumbe kwamba ukimwi haupo
Ha ha ha ha !!!! Mkuu huu ni uchochezi sio!Hii ni taarifa ya uchochezi, yenye uzandiki, iliyojaa wivu na chuki na kusheheni woga na wasiwasi wa maisha, pambana na breakup na kibamia chako
Umejuaje yote hayo?Habarini wanajamvi,