suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
Ayaaaaaa nishakatwa tayari! ndorobo weee!!! moja hiyo vocha kikanunulie bundle ya kupepelea JF!MAELEZO~ni kwamba huyu dada alitoa hiyo namba kwa ajili ya urafiki wa kuchati/ then ashampata mtu wake hivyo msijusumbue tena kumpigia.