Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 713
- 1,181
Hii hali ilinisumbua sana mwanzoni nilikuwa najua nina ugonjwa wa moyo, ila sasaivi nadunda tu.. Adi nimeizoea najua kabisa nikila maharage au dagaa usiku lazima niumwe kifua upande wa kushoto sina wasiwasiNyie watu nyieeeee, juzi tu mimi nimetoka hospitali kumuona cardiologist, nimefanya ultrasound ya moyo, EKG na Echo kwa ajili ya haya haya ma vidonda ya tumbo, nilipata maumivu makali kifuani na kupata shida ya kupumua, nikaenda local dispensary nikaambiwa ni angina au symptoms za heart attack....
Nilipanic nyie.... lol, kwenda kwa cardiologists naambiwa sina tatizo lolote, vipimo viko safi kabisa, Akanambia hivyo ni vidonda vya tumbo.... Nimepewa dawa mzigo hapa, nahisi nafuu kiasi but nikila tu nahisi vichomi tumboni.