Chuo gan icho Mkuu mana daah nawaza itakuwaje kusoma MD na naipenda sana hii coursemi mbona CBG na nasoma udaktari.......au unafikiri MD inafundishwa MUHAS tu........kajipange upya mtoa mada
Chuo gan icho Mkuu mana daah nawaza itakuwaje kusoma MD na naipenda sana hii course
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ?? Mbn nasikia cbg kuwa MD ni ndoto labda upate scholarship ya MBBS nje ya nchi.
Huwa najiuliza kuna shida gani kwa mtu aliesoma CBG kusomeana udaktari?Nimejaribu kuuliza watu wengi hasa baada ya haya matokei ya form four wale waliofanikiwa kufaulu juu ya malengo yao ya baadae , asilimia kubwa wameniambia wanataka kuwa madaktari wa mifupa , watoto , moyo na nk ila cha ajabu nilichokiona ni ukimuuliza unaenda kusoma combi gan advanced level atakwambia CBG! Wapi na wapi CBG na udaktari wa watu? Wangeniambia wa mifugo ngewaelewa
Kweli ?? Mbn nasikia cbg kuwa MD ni ndoto labda upate scholarship ya MBBS nje ya nchi.
Huwa najiuliza kuna shida gani kwa mtu aliesoma CBG kusomeana udaktari?
Nasikia enzi combi ya CBG ilipoingia kuna ambao waidahiliwa MD, lakini mambo ni tofauti sasa hivi. Mpende kuongozwa na TCU Admission Guides zinazotolewa kila mwaka. Program za MD, Dentistry unatakiwa uwe na minimum ya C Chemistry, C Biology na D Physics vinginevyo tafuta program nyingine.Mleta uzi na yeye anahitaji kusaidiwa jaman.. ktk CBG kuna baadhi ya vyuo qualification ni Principle Pass mbili .. Ukafauli B na C.. mbona saf tuu..
Physics inafanya nini kwenye MD tofauti na Geography.Nasikia enzi combi ya CBG ilipoingia kuna ambao waidahiliwa MD, lakini mambo ni tofauti sasa hivi. Mpende kuongozwa na TCU Admission Guides zinazotolewa kila mwaka. Program za MD, Dentistry unatakiwa uwe na minimum ya C Chemistry, C Biology na D Physics vinginevyo tafuta program nyingine.
Sasa sijui tatizo liko wapi- wanafunzi kwenda Advvance bila kuwa na hizi taarifa. Mwaka 2016 kulikuwa na vilio vikubwa kwani ndio mara ya kwanza (I stand to be corrected) vigezo hivi vilitumika hivyo wengi waliokuwa na CBG walijikuta wametupwa nje.
Vichwa ngumu!Waelekeze
Hatari hii, angepanua goli.Miaka ya juzi kidogo CBG alikua anasoma course za afya flesh tu.. Maana guide book ilikua inasema kwa afya uwe na principal pass mbili tu ( chemistry & biology).. Then physics & math ni subsidiary so
Mtu wa CBG akifaulu vizul BAM Anasoma 1.medical lab 2. MD 3. Pharmacy 4. Nursing na inshu nyingine za afya..
Balaa limekuja baada ya ndalichako kuingia guide book ya TCU ikabadilika akapiga pin CBG.. guide book ikasoma kwa course yoyote za afya mtu awe na principal pass 3.. ( chemistry ,biology & physics).. So course iliyobak kwa CBG kwa sasa kwnye afya ni environmental health kama sikosei..