ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hivi Match ya Marudiano kati ya The Cranes na Taifa Stars ya Kufudhu CHAN ni lini?
 
ukiwa cdm na unataka kufaidia ni lazima either uwe kambi ya Mbowe, Slaa, Mchaga au umetoka arusha au moshi. if not any of those than you are just dispensable like garbage.

Lwakatare has lost his value so now he is being sent to the shredder.
 

Nawaomba watu wa msalaba mwekundu muendelee kuwa standby, wapo waathirika ambao mpaka leo hawajaweza kupata matibabu...yawezekana wanahitaji vipimo zaidi kutoka kwa daktari.

Yaani wapo watu wasivyo na aibu! Oops, kumbe watu wenyewe ni pamoja na Chris Lukosi!
 
Swala la babu kwenda ujerumani...kufanya check up siliongelei maana sina uhakika km alienda check up au alienda kutembea...au alienda kwenye shughuli za chama. Hata hivyo lazima tujue kuwa babu anafanya kazi na kulipwa mshahara..anaweza kwenda kwa gharama zake..au gharama za chama kulingana na mkataba wake wa kazi (ni fikra zangu). Lwakatare naye ana mkataba wake kulingana na kazi zake. Hata hivyo narudia kusema haya yote yanatokea kwa sababu ya uongozi mbovu wa serikali tuliyonayo. Km serikali ingeimarisha huduma za afya hapa..hakuna mtanzania ambaye angefikiria kwenda kutibiwa nje! Labda kwa kesi maalum sana. Rejea Afrika kusini na matibabu ya Mandela!
 
achaneni naye kwanza ana tuhuma yeye na jamaa zake kutumia kivuli cha serengeti freight Uk kuuza cocaine
 

Anza na familia yako,
nani asiyejua kwamba yale makelele ya babu kujifanya mzalendo ni usaniii mtupu
 
wewe ni mtoto sana kisiasa, nini matusi kama huwezi kujibu mada. hizo ni dalili za political immaturity. kama ni ugonjwa tuu mbona hamuuzungumzii maradhi ya ki kleptomaniacism ya lema kwa kupenda kuchukua magari ya watu na kuyauza
Unalaani matusi kwa kutukana.... Utabadili sana. Id mwaka huu

naona four o'clock imekukurupusha na jinamizi lalema
 
ni hivi inapobidi kuwa muwazi acha mtu awe muwazi. Hivi kuna agenda gani ya Siri hapa kikifanya kosa Chama cha Kususa na Maandamano watu wanakitetea tu eti kwa ajiri ya USHABIKI TU. Huu ni ujinga tena upuuzi kabisa. Mi kwa upande wangu namuunga mkono kabisa huyu aliye tafuta ukweli huu na kuuweka hapo na wala usiuite umbea,kwani ni uongo? CHADEMA angalieni msije mkafa kwa presha, kwanza kwa sasa ni miongoni mwa chama kimechopoteza mvuto kabisaa nchini Tanzania na ushahidi itakuwa ni ushindi mkubwa wa CCM mwaka 2015. Mi sitetei chama fulani ila huwa napongeza chama husika pale kinapokuwa kimefanya vizuri sio mkumbo tu eti ilimradi tu nami niwe najidanganya ni wa kisasa au ninaenda na wakati,mengine si kwenda na wakati bali kupotea na wakati.
 
Be honest, huu ni ubaguzi wa hali ya juu sana, kwa nini nassari alitibiwa first class halafui lwakatare analala muhimbili third class?
 
Siasa za tz,,ngoja niendelee kutokuwa na chama,kwani CDM hawana sera za kusema tuwape nchi,CCM ndo zaidi,,ila adui wa CDM ni RA,EL,,,
 
Jamaa ni wabaguzi na kila mtu anajua hilo
 
Mbona wenye akili tumeshaling'amua hilo toka kitambo! ubaguz wao ni wa dhahili kabisa, namuonea huruma sana Wilfred na wengineo kwa kupotea njia!
Tatizo vijana wengi wamekuwa kama misukule hata hili la lwakatare hawalioni wanaona ni sawa tu
 
Kweli kazi tunayo nilifikiri utaanza na serikali kuwa inatakiwa kuboresha mazingira ya hospitali zetu ili viongozi wetu watibiwe hapa na sio nje ya nchi. Sasa unaanza na mtu ambaye yeye pia ni muhanga wa tatizo na ndie ambaye anapiga kelele kila siku kuwa pesa nyingi zinatumika ndivyo sivyo.Ushauri wangu kwako ni vyema ukaenda kuwashauri viongozi wako wa chama chako(maana najua wewe ni chama .....) waboreshe miundo mbinu ya hospitali ili wao(viongozi) wawe wanapata matibabu hapa nchini na sio kukimbilia nje ya nchi. Huyo uliyemtaja hahusiki kabisa na hicho unachokisema acha akatafute huduma bora na sio bora huduma kama tunazopata sisi wananchi.
 

Sasa wewe kinachokuwasha nini hapa? Nyie ndio Lady Jaydee aliwaimba "wanaume kama mabinti". Can't you come up with constructive something even once? Wewe ni umbea tu full time. Ona aibu mtoto wa kiume.

Tiba
 

Mwenye masikio na asikie. You have said it all.

Tiba
 

Swala la Matibabu ni personal sana ndugu yangu, hata hivyo lisihusishwe na mahusiano ya watu kwenye Chama ingekuwa hivyo watu wote wangehama CCM kwa mwenyekiti wake kwenda kumtibu Ray C India wakati kuna diwani wa CCM alifia kwenye vi hospitali uchwara hapa Bongo JE hii unaweza ukasema Rais alimdharau Diwani kuliko Ray C? Utapambana sana lakini hautashinda
 
Hivi Bukoba iko sehemu gani ya Tanzania vile?
 



Mafisadi wana wakati mgumu sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…