Umeshajipambanua imani yako. Kujaribu kukusaidia katika hili ni sawa na kumfundisha samaki kupanda Juu ya miti. Mwenye kudanganya na aendelee kudanganya sana, mwenye kutenda dhambi na azitende sana.Hapanda msio ukweli wenyewe tatizo nikwamaba ulisha aminishwa tangu udogo wako hivyo ningumu kuukubali ukweli , lakin yesu si mungu na ndio maana hata yeye mwenyewe yesu humuomba mungu.
Utaruka weee lakin mwisho wa siku inabaki mungu ni mungu na yesu/issa bin mariam ni yesu kumpa uungu yeye wakati haya yeye mwenyewe alisema anaenda kwa baba kuwaandalia makao ni kuto ikubali biblia bali ni kuwakubali wachungaji wenu.Umeshajipambanua imani yako. Kujaribu kukusaidia katika hili ni sawa na kumfundisha samaki kupanda Juu ya miti. Mwenye kudanganya na aendelee kudanganya sana, mwenye kutenda dhambi na azitende sana.
biblica principle of naming ni kwamba what you name you controlll, sasa unapewa jina la kizungu so that you can be controlled na wazungu na falsafa zaoMimi naomba nitoke nje ya mada mkuu. Hiyo number 2. Kwenye ubatizo. Yesu alipo batizwa na yohana, naye alipewa jina la ubatizo?! Wakatoliki hubatiza kwa kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, na hutoa jina la ubatizo. Hii falsafa/dhana ya ubatizo na majina ya ubatizo ilianzia wapi na inamaanisha nini?! Ubatizo ni jina jipya?! Au ni nini maana yake?! Nimewahi kuuliza (majina ya kizungu na kiarabu na maisha ya kiroho) humu sikupata jibu nauliza tena kwa nia nzuri na katika kutaka kufahamishwa. Asante.
Mkuu ni mda wa kufanya nn sasa? Kama naona watu wanapotea nafanyaje?Hii mijadala ishajadiliwa karne kibao zilizopita... Watu wenye akili zao huwa hawabishani
Ushauri wangu take a time ugoogle usome mitazamo ya watu mbalimbali duniani, hata wasomi wakubwa wa zamani ujue walitazama vp haya mambo....baada ya hapo utawaelewa watu tofauti tofauti mitazamo yao, hakutakua na haja ya abishano
NB
Huu sio muda wa kubishana nguruwe haramu au si haramu..., nyoka analiwa au haliwi....punda analiwa au haliwi....
Utasaidia wangapi?? Shika jembe ukalimeMkuu ni mda wa kufanya nn sasa? Kama naona watu wanapotea nafanyaje?
Halafu hii Tabia ya watumishi wa Kiroho kutembea na watu nyuma sijui wameitoa wapi yaani mtu anasimamiwa nyuma kama mgonjwa wa kifafa.
Hahaha lakini siku hizi mapadri wetu sio wazungu tena, lakini wanabatiza na kutoa jina la ubatizo, by doing that who do they control or you are saying they have been controlled already?!biblica principle of naming ni kwamba what you name you controlll, sasa unapewa jina la kizungu so that you can be controlled na wazungu na falsafa zao
Ila wewe jamaa sijui unawaza nini nimecjeka sana[emoji23] [emoji23] Hao dawa yao ni Nyuki kuvamia Kanisa.
nakumbuka hili kanisa lilianzishwaga wilayani hai liliaribu Sana watu
lipo Mkuu sema halivumi tena kama mwanzoNililionaga kule hivi ilikuaje? Bado lipo?
Cham WA TATUMajina yao sasa utachoka
mkuu kwa nn nikkuita jina hata kama mko kumi hapo kwenye group utaitika? vile hata Mungu alimpa abram jina jipya ili iwe simple kumuidentify mahala popote atakapokua.Hahaha lakini siku hizi mapadri wetu sio wazungu tena, lakini wanabatiza na kutoa jina la ubatizo, by doing that who do they control or you are saying they have been controlled already?!
Tusaidie majibu mkuu
Nitashukuru sana mkuu, usisahau na jina la ubatizo la Yesu/Jesus kama alipewa la kizungu alipobatizwa. Tofauti ya ubatizo na jina la ubatizo.kuna uzi niliuliza huu hapa chinimkuu kwa nn nikkuita jina hata kama mko kumi hapo kwenye group utaitika? vile hata Mungu alimpa abram jina jipya ili iwe simple kumuidentify mahala popote atakapokua.
ntakujibu zaidi nikiwa na mda nikupe somo juu ya kumpa mtu jina hasa hayo ya kizungu