Hiyo ni kweliAnyway ....mjadala wa Utatu Mtakatifu ni mzito na hatuwezi kufikia hata theluthi ya majadiliano yaliyokwisha fanyika ....itoshe kuamini Mungu mmoja ana nafsi tatu ....Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ....yeyote anayehubiri kinyume na hili si Mkristo ....
Unaona sasa.....Anyway ....mjadala wa Utatu Mtakatifu ni mzito na hatuwezi kufikia hata theluthi ya majadiliano yaliyokwisha fanyika ....itoshe kuamini Mungu mmoja ana nafsi tatu ....Baba, Mwana na Roho Mtakatifu ....yeyote anayehubiri kinyume na hili si Mkristo ....
Nimesema ninachoamini ...na wewe sema unachoamini ....then mjadala uanzie hapo ....Umesikia alichosema Mhubiri? Kama hujamsikia usiibue mjadala mwingine ....kama umemsikia sidhani kuna mjadala hapa ....ndio maana nikakuuliza umebatizwaje hukujibu ...ningejua unaamini nini ....Unaona sasa.....
Umeshindwa kujibu ata swali moja nililo kuuliza ulipata vipi ujasiri wa kumkosa huyo mtu WA Silo amu?
Wee jamaa umenichekesha sana...anyway jaribu kuwahesabu na wakifika 12 basi tujuwe wana copy na kupaste toka kwa yesu original.Halafu hii Tabia ya watumishi wa Kiroho kutembea na watu nyuma sijui wameitoa wapi yaani mtu anasimamiwa nyuma kama mgonjwa wa kifafa.
Nimejibu nimebatizwa.Nimesema ninachoamini ...na wewe sema unachoamini ....then mjadala uanzie hapo ....Umesikia alichosema Mhubiri? Kama hujamsikia usiibue mjadala mwingine ....kama umemsikia sidhani kuna mjadala hapa ....ndio maana nikakuuliza umebatizwaje hukujibu ...ningejua unaamini nini ....
Si kweli... Hicho ni kichaka tu cha kujifichaHiyo ni kweli
Mimi naomba nitoke nje ya mada mkuu. Hiyo number 2. Kwenye ubatizo. Yesu alipo batizwa na yohana, naye alipewa jina la ubatizo?! Wakatoliki hubatiza kwa kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, na hutoa jina la ubatizo. Hii falsafa/dhana ya ubatizo na majina ya ubatizo ilianzia wapi na inamaanisha nini?! Ubatizo ni jina jipya?! Au ni nini maana yake?! Nimewahi kuuliza (majina ya kizungu na kiarabu na maisha ya kiroho) humu sikupata jibu nauliza tena kwa nia nzuri na katika kutaka kufahamishwa. Asante.Labda unijibu maswali yafuatayo then niweze kujadiliana na wewe ...
1) Wewe ni Mkristo?
2) Umebatizwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu?
3) Kwako Yesu ni nani?
Then nitajua najadiliana na mtu wa namna gani ili nijue mjadala huu utazaa nini .....
Sio yesu ni Yesu. Sio mungu ni Mungu. Ndiyo. Yesu ni Mungu.Mkuu sijakuelewa vzr, yesu ni mungu?
Huu ni uzushi na upotofuNimemsikiliza yupo sahihi mungu ni mungu na yesu ni yesu anaye takiwa kuabudiwa ni mungu baba na sio mungu mwana, mungu mwana ni daraja na si mungu, kaongea logic ambayo wakrito wengu walishwa maneno watapinga,
Hapanda msio ukweli wenyewe tatizo nikwamaba ulisha aminishwa tangu udogo wako hivyo ningumu kuukubali ukweli , lakin yesu si mungu na ndio maana hata yeye mwenyewe yesu humuomba mungu.Huu ni uzushi na upotofu
Duuh haya bwana na Mungu ni Yesu? Kweli imani zina tufanya tusifikirie kwa akiri zetuSio yesu ni Yesu. Sio mungu ni Mungu. Ndiyo. Yesu ni Mungu.
Hii mijadala ishajadiliwa karne kibao zilizopita... Watu wenye akili zao huwa hawabishaniDuuh haya bwana na Mungu ni Yesu? Kweli imani zina tufanya tusifikirie kwa akiri zetu
Unaposema Yesu si Mungu unakua na maana gani? Kwamba hana ile hali ya uungu au vipi?Hapanda msio ukweli wenyewe tatizo nikwamaba ulisha aminishwa tangu udogo wako hivyo ningumu kuukubali ukweli , lakin yesu si mungu na ndio maana hata yeye mwenyewe yesu humuomba mungu.
Wanaombaje mkuu.style yao ya kuomba mi inaniacha hoi
kama wamfokea muombewaji..Wanaombaje mkuu.
Wanarap?!!kama wamfokea muombewaji..
wanatamka neno mojamoja huku wanapandisha na kushusha vichwa