Angalieni kitu nilichopata TANESCO

Angalieni kitu nilichopata TANESCO

...servic charg hiyo...bt hata ivo nadhan tanesco wamepandisha gharama za umeme..maana umeme nliokuwa natumia wiki..sasa siku tatu tu kwishney....

Ni kweli mkuu hata mimi nilishangaa umeme nilikuwa natumia wiki sasa ni siku 4,na sasa unit moja nadhani ni TZS 375 na ushee hivi na kwa siku umejibana matumizi ni unit 3-4 siku hizi nazima kila kitu umeme umebaki wa kuwasha usiku tu na kusikiliza mjadala wa Escrow.
 
asilimia zaidi ya 90 ya watanzania ni masikini

unapoteza mda bure kiongozi, huna haja ya kuhangaika na hao kula kulala hata bei ya chup hawajui sembuse umeme, kuna vi form 4 failure vimevamia jukwaa siku hizi bado vina hudumiwa na wazazi wao achana nao havijui lolote.
 
itabidi iwe hivyo hata hizo unit 10 kwa mwezi nyingi mimi nataka 1unit kwa mwezi.
Hii nchi kila mtu ajigaie anavyoweza sasa

Ukishaona kwenye nchi, wananchi wake wanawaza hivi basi ujue hapo hakuna nchi tena!!! Masikini Tanzania yetu inaharibikiwa huku tunaiona kwa macho yetu!! Ngoja nami niangalie najigawia vipi hii nchi mpaka huu utawala legelege ukiondoka tu nami nasukuma vogue ya 2014
 
Hakuna jinsi kaka, mtu anapiga 1.6b kama vile anapewa buku tu huku sisi huku tunakufa, kila kitu bei juu maisha magumu coz of wachache.
Nikikutana na mtu anataka meno ya tembo naenda kumfanyizia tembo piga fataki kulee, umeme naiba, unga nauza yaani uharamia wote bora goma liende.
Hata nikikutana na Al shabab anataka kulipua magogoni anipe mkwanja hata kidogo tu namuonyesha.
Mkuu hana uzalendo katuuza wote sasa mimi nije niwe mzalendo kwa lipi?
Kwa side yangu sina uzalendo teeena. Ni kuiba tu kadri niwezavyo
 
Ni kweli mkuu hata mimi nilishangaa umeme nilikuwa natumia wiki sasa ni siku 4,na sasa unit moja nadhani ni TZS 375 na ushee hivi na kwa siku umejibana matumizi ni unit 3-4 siku hizi nazima kila kitu umeme umebaki wa kuwasha usiku tu na kusikiliza mjadala wa Escrow.

7.9x375=tsh 2962.
 
kuna kitu nataka nikuelekeze lakini kwanza uwe unajua kwa mwezi unatumia wastani wa Unit ngapi na ni nzuri kama ni pungufu ya 75 units.

Mkuu hebu nitonye maana ninasumbuliwa na mdogo wangu namtumia 50000 kwa ajili ya luku ya mwezi mzima ila kwenye tar 24 wananiambia imekwisha...matumizi yao ni pasi na taa ni energy servers.
 
Kiukweli kabisa hapo kinachofanya kazi ni software inayotoza pesa na kwa units. Mambo ya electronics wenyewe wazungu sie kwetu huku tunajikongoja.

Jaribu kubadili tariff kama matumizi yako sio makubwa.
Utaratibu kubadili tarifu hadi uwe na mwaka na matumizi yawe chini ya ya unit 50 name so chin I ya unit 20 wastani kwa mwezi.
 
Kwa hali kama hiyo, halafu mtu kama Chenge anakuja kukuandikia Katiba Mpya, unadhani ataandika Ubunge uwe na kikomo? Akiwekewa kikomo atawezaje kuiba pesa za Tanesco na Rada? Ni muhimu kuwaondoa kabisa hawa viongozi waliopo kwenye huu mfumo wa wizi na uliofeli.
Ova
 
...servic charg hiyo...bt hata ivo nadhan tanesco wamepandisha gharama za umeme..maana umeme nliokuwa natumia wiki..sasa siku tatu tu kwishney....
Au inawezekena kuna kishoka jirani yako amekuchezea kamchezo ili umtafute avute kitu kidogo.
 
Hahahahhaah ujanja ni ku-bypass meter nikishawahi fanya kitambo sana hata uwe na jiko, ac, na mauchafu yote kitu unit 10 tu kwa mwezi

Tupeane Maujanja Hayo Mkuu Maana Tanzania Yetu Ishakuwa Shida Ukiibiwa Na Wewe Iba
 
Huu ushenzi unaoitwa service charges huwa mie sielewagi kabisa,mbona vocha za simu tukinunua hakuna service charges? Huu wizi lazima tuutokomeze kama sijanunua umeme mwezi huu kwanini mwezi unaokuja wanikate? Hizo service charges tunazolipia hawajarudisha tu gharama zao? Aisee uchaguzi wa mwaka 2015 lazima wagombea uraisi watuondolee huo ushenzi.
Mkuu na kwenye mabenki kuna kitu wakiita 'Monthly maintenance fees'. C mchezo
 
Back
Top Bottom