Hivi hii LUKU nimeibiwa au ndiyo cost za umeme kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii LUKU nimeibiwa au ndiyo cost za umeme kwa sasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mathias Byabato, Feb 20, 2011.

 1. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwa wanaoolewa cost za umeme kupitia LUKU wanisaidie

  Mimi ninatumia LUKU nyumbani kwangu,mara ya mwisho kununua umeme wa LUKU ilikuwa 22/12/2010.Sasa juzi umeme ulikwisha gafla na mimi nikaona ninunue umeme huo kupitia MPESA.

  Nilinunua umeme wa tsh 8,000 lakini nilichopata ni hiki
  Receipt EVG201814618 Units 6.90 Token 73173753890675432 Cost TZS 1,319 Timebased TZS 6,681 TOTAL TZS 8,000

  Sasa nimeshindwa kuelewa hizo unit 6 ni kwa 6,000 au sh 1,300.Je hata kama kuna makato,service charge,umeme kupanda ni kiasi hiki au MPESA nao wanachukua zao naomba maoni yenu wadau.
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hapo umepata unit kwa 1319, hizo zilizobaki makato, ewura, vat, service charge, sina hakika kama mpesa nao wanakata
   
 3. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Na kwa kuongezea, Luku huwa kuna fixed charge ya kila mwezi. Kwahiyo ukikaa miezi mi3 hujanunua, siku ukinunua wanakata charge za miezi yote! Pole sana
   
 4. P

  Puza Senior Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mi nlinunua mwezi huu kwenye kibanda cha max com umeme wa 10000 nikaambulia unit 2 kuuliza nkaona utitir wa makato,nlidhan labda max nao wanachakachua emb mweny data atuhabarishe japo najua bei kwa unit imepanda
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mimi juzi nilinunua wa 30,000 nilichokipata ni...
  unit 139.20
  coast TZS 26,660
  Timebased TZS 3,340
  sasa wewe umenishitua Timebased TZS 6,681 ngoja tusubili wanaojua
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  msishangae umeme umepanda hivi sasa unit moja ni sh. 157 na makato mengine ndo usiseme.
   
 7. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hiyo iliwahi kunitokea nikaenda tanesco kuuliza nikaambiwa kwavile nilikuwa na zile mita za zamani wakaja kunibadilishia na kunifungia luku kuna deni la bili lilibaki kwenye ile mita ya mwanzo ndio wameanza kulikata kidogokidogo nilikatwa kama mara nne nikiwa nanunua umeme kwa luku baada ya deni hilo kwisha niliendelea kupata units kama zamani. Unawezakwenda kwenye ofisi za tanesco kwa kupata ufafanuzi pia unawezakuwaomba wakutolee deni lako lote ukalilipa kwa mara moja
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Umeme ni maumivu sana.imagine all those complaints ni domestic users...hebu vuta picha wenye viwanda inakuwaje?? ndio maana bidhaa zinapanda juu
   
Loading...