UmejuajeWanaume wanawaza ngono mara nyingi zaidi kuliko wanawake!
Mkojo huo unamsumbua tena wa bia.,anamngojea mwenzake akabe point then awahi toilet.Kimbembe ni hapo kwani yaonekana umeanza kugonga chupi.
Teh!teh!!Wakati wa kazi.,ama kweli hapa kazi tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Kamkumbuka mkewe maskini....... hakupiga cha asubuhi
Hii ni kulidhalilisha jeshi la Polisi. Tulipokuwa JKT tuliambiwa ukiwa kwenye nguo za dzesi hakuna kufanya mambo kadhaa kama kula miwa sembuse kunywa pombe!
ENZI ZA MKWERE NIMEZIKUMBUKA