Angalieni hii katuni.

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,244
katuni.jpeg katuni juu ya Obama kwenye Gazeti la nchini Kenya.
 
Tena kazi hasa kimewahuma jamaa kupitiliza!!!
Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu wakenya imewauma kutuona jirani zao tunavyoingizwa mkenge na raisi JK ambaye kwa kifupi anajulikana kama 'mwanaume omba-omba wa kwanza duniani'

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa mausiana ya kimataifa amejitaidi tatizo mausiano ya Wananchi wake na mambo yao ndo tatizo ajipange!
 
Km kuomba jk yuko vzr,hautokaa maishan mwako kuwa anaenda palestina,afghanstan,korea nk.mzee wa uk,usa & china
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom