Angalien chanel ten now

Anazungumza kwa jazba au ndo kawaida yake?
Ni kawaida yake, sio kwamba anafanya maksudi - jamaa huyu anajua mambo mengi ambayo yanaweza kulisaidia Taifa letu, wahusika wakimsikiza bila ya kumpuuzia tutafaidika kwa mengi - najua watajitokeza baadhi ya watu ambao watahanza kumponda ponda!!
 
Muwe mnaandika kwa ukamilifu,sio wote wana runinga au kusikiliza unachokiwasilisha kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…