Angalie Smart 4G LTE ilivo Slow utafikiri 3G

Vipi unatushauri nini?
Kama upo DSM hii kitu usijaribu itakuingiza cost na hautopata value for your money
Nimeijaribu hii 4G yao maeneo matatu kote ni worse
Modem ya 4G ni around 100,000/= sasa ununue modem bei yote hiyo afu kifurushi bei kubwa na ukute Speed haina tofauti au imezidiwa na Zantel 3G/Airtel 3G/Voda 3G ambao modem wanauza 30,000/= na bado bundle zao ziko chini
 
3g ya tiGO imepitwa spid na 2g ya Smart. Na hili nalo unalizungumziaje?
 
Nfikiri na wewe bado hauelewi, unatumia 4G LTE Arusha na mtandao gani???

Mm hapa naongelea "Smart/BOL 4G LTE" ndo iko slow siongelei 4G LTE as a general thing bali specific provider

Smart/BOL wanayo 4G LTE coverage hapo Arusha.
 
Kama upo DSM hii kitu usijaribu itakuingiza cost na hautopata value for your money
Nimeijaribu hii 4G yao maeneo matatu kote ni worse
Modem ya 4G ni around 100,000/= sasa ununue modem bei yote hiyo afu kifurushi bei kubwa na ukute Speed haina tofauti au imezidiwa na Zantel 3G/Airtel 3G/Voda 3G ambao modem wanauza 30,000/= na bado bundle zao ziko chini

mkuu kama hutojali unaweza tuwekea speed test za tigo 4G na Smart 4G maeneo hayo yote matatu??
hii itatusaidia kuamua na kuachana na huu ushabiki maandazi wa wengine humu ndani.
 
Kama unataka tumia 4G na unayo hela Go for Smile
Kama hela ni midway Go for Tigo 4G ina peak mpaka 40Mbps eneo langu average 20Mbps
Kama unataka Low Ping speed na 4G network at a cheapest price ever Go for Smart 4G LTE haizidi 16Mbps maeneo yote ambayo watu wamenambia wanaitumia.

Kuna thread ya Tigo 4G pia nilifungua iangalie
 
Mkuu hiyo hapo, nimetumia simu ... Huawei Ascend Mate 7.

Kama hutojali, tusaidie za tigo na smile ili tu-balance huu uzi. uki-update hapo juu itakuwa poa zaidi.

speed_test_smart_4G_LTE.jpg

test link: Speedtest.net by Ookla - My Results
 
Mkuu hiyo hapo, nimetumia simu ... Huawei Ascend Mate 7.

Kama hutojali, tusaidie za tigo na smile ili tu-balance huu uzi. uki-update hapo juu itakuwa poa zaidi.

View attachment 277745

test link: Speedtest.net by Ookla - My Results

Asante sana Mkuu naona Wamei Improve ntawa TEST tena hapa Nilipo na mm nione maana nahisi hela nilonunulia modem ilipotea hivi speed halandani na hela nilo invest

Kuhusu Smile 4G katika eneo langu perfomance sikuipenda sawa tu na hao Smart ila kuna wengine walofanya Test Smile iko juu sana

speed test siku ya kwanza na Tigo ilikua 40Mbps+
X5hBu5.png

Lakini kwa sasa naona inacheza tu 17-26Mbps
m4WzVJ.png
 
Hawa jamaa hamna kitu kabisa ndo maana vifurushi vyao wanauza bei sawa na Bure eti 1GB unapata kwa 3,500/=

Sijapendezwa na speed yao kabisa yaani transfer rate ni 900KB/sec

Sijui maeneo yote Speed yao itakua kimeo hivi au ni kwa hapa Upanga Magharibi ninapofanyia testing?

Z10YCq.png

dvIMMc.png

Duuh hapa hamna kitu kabisa wanapigwa gap mpaka na 3G providers

UPDATE

Speed test ilofanywa Tarehe 19/08/2015 na afrolife inaonesha mabadiliko ya speed na improvement katika speed

Daaah hata 3g ya zantel inampita huyo Smart 4g
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Eneo gani? mana kigamboni hao smart wabovu kuliko hata tigo

Mi nipo Temeke Kata 14 kuna siku nilinunua kifurushi cha night cha tiGO aaaargh! Nikatoa line kwenye Modem kwa Hasira nikasema ngoja niwajaribu Smart na 2G yao. Haaa! Sikuamini! Ndo nikajua kwamba 3G ya tiGO imepitwa speed na 2G ya Smart
 
Hivi Modem yenye Download Speed kubwa kabisa ni MBps na inauzwa sh.ngapi? Chief-Mkwawa
3g mwisho ni 42mbps na 4g bado wanaongeza tu standard zipo hadi za 300mbps.

Ila hata ukiwa na ya 42mbps si rahisi kupata speed hio, ila kwa future use sio mbaya.

Bei itabidi utafute ebay, madukani nyingi ni za 7.2mbps. Ila nafkiri tigo wanazo 14.4mbps kwa bei ya kawaida ya chini ya 30,000
 
Zantel wanazo modem za download speed ya 21.5MBps. tatizo chip zake hazitoki kwahio inakuwa ngumu kuiflash
 
Zantel wana network mbili
1.gsm
2. Cdma

Kama ni modem ya cdma huenda hata haijalokiwa, tigo, voda, airtel na wengineo wanatumia gsm hivyo hata ukieka line zao kwenye modem ya zantel ya cdma hazitafanya kazi.

Ila kama ni modem ya gsm ipo tu njia ya kuitoa lock, sababu ni haki yako kuomba kifaa chako kitolewe lock
 
3g mwisho ni 42mbps na 4g bado wanaongeza tu standard zipo hadi za 300mbps.

Ila hata ukiwa na ya 42mbps si rahisi kupata speed hio, ila kwa future use sio mbaya.

Bei itabidi utafute ebay, madukani nyingi ni za 7.2mbps. Ila nafkiri tigo wanazo 14.4mbps kwa bei ya kawaida ya chini ya 30,000

Zantel wanayo Huawei e3131 ni 21mbps nimechukua kwa 28,000 tu pale Msasani.
 
Zantel wanazo modem za download speed ya 21.5MBps. tatizo chip zake hazitoki kwahio inakuwa ngumu kuiflash

Zantel wana Huawei e3131 gsm ni 21mbps na zinachakachuka kwa kudowngrade firmware ila pale ofisini kwao wanakuuliza unategemea kuitumia maeneo gani?
Kama jibu lako ni nje ya Dar na Znz wanakupa hizo za CDMA zisizototumia line maana 3g yao haipo Mikoani.
 
Kuuliza c ujinga wakuu 3G na 4G ni mjini tu au maana mm nipo mkoa toka nimetoka mjin cm yangu ni 4G siioni tena ni E tu line ya artel msaada plz
 
Inategemea na eneo ulipo, kwa uhakika mikoani hakuna 4g, ila 3g ipo maeneo mengi.

Search network simu ikiwa 3g only ili uone kama utapata hio 3g ya mtandao wowote
 
Back
Top Bottom