Angalie Smart 4G LTE ilivo Slow utafikiri 3G

Angalie Smart 4G LTE ilivo Slow utafikiri 3G

Hamia Halotel wazee wa mispeed ya uhakikaaaaaaa unashusha movie kama unashushaa picha hivi...... shikamooo halotel
 
Aiseee halotel haina lawama....voda dar inasoma edge! Seriously?????? Voda naona mnakomaaa sijui na madeileee mnaacha vitu vya msingi.
Halotel big up
 
Back
Top Bottom