Angalia watanzania Jinsi wanavyoongea juu ya kile wanacho amini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalia watanzania Jinsi wanavyoongea juu ya kile wanacho amini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DEKA, Apr 20, 2011.

 1. D

  DEKA Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg, wana JF; poleni na majukumu ya kuelimisha jamii yetu ya Tanzania; Katika pitapita yangu ndani ya ulimwengu wa tovuti mbalimbali nilikutana na mwanablogu mmoja anajiita BC kutoka blogu ya Wazalendo Forums - Powered by vBulletin. Ndugu yetu huyu alikuwa anafanya mahojiano na na binti fulani hivi anaishi nje ya nchi yetu.

  Binti anazungumza.....

  Naomba ni quote " Unajua Tanzania ni nchi yenye potential sana.At the moment kuna matatizo kidogo ya utendaji kwenye uongozi mzima wa nchi na watu wenye uchu wa madaraka kama CHADEMA wanatumia matatizo tuliyonayo sasa hivi kuwadanganya wananchi kwamba CHADEMA ndio suluhisho".


  "Watanzania nina hili la kuwaambia siku mtakayo wakabidhi CHADEMA nchi yetu,labda mtakuwa na umeme kwenye majumba yenu,ila pia tutakuwa tunalala tukisikia sauti za mitutu ya bunduki next door.
  Kwanini wewe kama mtanzania unayelalamika kuwa CCM hawaiongozi nchi vizuri kwanini wewe usiende kugombea ubunge huko CCM,au nyadhifa yoyote serikalini ili ubadilishe mambo? Mbona kuna vijana wengi mwaka jana wamegombea na wameingia mjengoni,kama January Makamba. Kuliko kukaa na kulaumu jiulize na wewe unaifanyia nini nchi yako,CHADEMA,NCCR MAGEUZI,CUF na upinzani mwingine wowote sio solution.Solution ni sisi wenyewe na sio kukabidhi nchi yetu watu wasio na experience, au chama kichanga kilichojaa wauza sura. BE WARNED MTANZANIA.

  Ni mtu mdogo sana ktk kudeal nae ila jamani naomba muone aina ya watanzania tulio nao".

  Naomba kuwakilisha.
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Samahani lakini hii ni pumba za ng'ombe.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,433
  Trophy Points: 280
  :sleepy::sleepy:
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mnajisumbua na vijitu vilivyopelekwea nje kwa kudandiwa kwanza.......

  ukichunguza kwa undani utakuta huyo binti alipelekwa nje mara baada ya kupewa mimba na mkubwa na ili kutunza familia na msimamo wa ndoa na taswira kwenye jamii kakapelekwa nje alafu leo kanaambiwa katoe

  She is just on of those many shit we have......kashashiba za wakubwa ndio maana anabwabwaja

  Halafu hicho kiblog cha wazalendo ndio ki-fotocopy kabisa yaani ni upuuzi sana kama wa vitoto vinavyobebwa na CCM kwenda kulala Karimjee....


  Jamani JF inawashusha nguo wengi!....wakiiona au kuisikia tu...
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwanza hako ka wazalendo (hope ni kile kizazi cha magogoni) kiko very-low uki-compare na JF.........

  Kwa mfano statistics za muda huu ninapopost post hii ziko hivi

  [​IMG] Currently Active Users: 5 (0 members and 5 guests)

  [​IMG] Most users ever online was 92, 04-02-2010 at 06:42 AM.

  [​IMG] Wazalendo Forums Statistics
  [​IMG] Threads: 398,

  Posts: 705,

  Members: 273,

  Active Members: 13
  JamiiForums | The Home of Great Thinkers........................
  • Registered Members: 36,348
  • Total Topics: 98,473
  • Total Posts: 1,871,332
  • Currently Online: 4122
  • Most Users Online.....(mtanisaidia mnaokumbuka hii vizuri)
  JF Statistics
  - Topics 98,473

  - Posts 1,871,333

  - Members 36,348

  Halafu wanajisemea wenyewe eti they "set agenda" others wana-follow.....walah duniani machizi wengi kuliko wenye akili timamu na Mirembe Hospital kumejaa wazima wakati vichaa wamebaki mitaani wengi

  How can these two be comparable hata tutoe attention kwa ka-forum.....chichimizi na tembo
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndo opinion yake na ana haki ya kuwa nayo. Wewe isikusumbue sana.
   
 7. Mshindo

  Mshindo JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 479
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yeah ni opinion yake na ana HAKI ya kikatiba ya KUPUUZWA
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,357
  Likes Received: 3,115
  Trophy Points: 280
  Ukikafuatilia sana utakuta babake kajivua gamba na kubaki na sumu muda si mrefu..................
  "hivi wanaopenda ccm na kikwete ni watz kweli?"
   
Loading...