Angalia vizuri labda kuna baba au mama yako hapa

Angalia vizuri labda kuna baba au mama yako hapa

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Itaskia ooh watoto wa siku hizi...
 

Attachments

  • 1425105490404.jpg
    1425105490404.jpg
    35.6 KB · Views: 2,079
Hapo wazee wetu walikuwa wanakula ujana
 
kweli zamani amani ya mashariki ya kati ilizingatiwa.Huyo dada mwenye kifua wazi kwa kizazi hiki mbele ya hao jamaa angeijutia siku yake
 
Enzi za ngono bila ukimwi hizo
 
Wakati ambao vijana ngono ilikuwa si chaguo la kwanza
 
Wakati huo ilikuwa hata kusimamisha si rahisi .. Siku hzi ukionyesha hata jino as long as linakaa ndani likatoka nje mtu anatamani
 
Ha ha na hawa ndo masharo wa enzi hizo
 

Attachments

  • 1425111183674.jpg
    1425111183674.jpg
    27.7 KB · Views: 488
kweli zamani amani ya mashariki ya kati ilizingatiwa.Huyo dada mwenye kifua wazi kwa kizazi hiki mbele ya hao jamaa angeijutia siku yake

Kipindi hicho heshima ilitawala sana! Sio kama leo mambo ya sirini ni kweupeeeeee!
 
Enzi hizo nyege zilikuwa za analogy network ni ya kutafuta sio hizi za siku hizi za digitaly hata bondeni network full
 
Hapo sijui coco beach,na wakichelewa kidogo tu watapishana na uda,sijui wataeleza nini kwao
 
Kitu cha saasita watu hawana habariiii Duuuu...!!! Kweli Nyakati zimekwisha ...leo hii katotocha 2yrs kakikojoa tuuu... Hari mbaya
 
Back
Top Bottom